Sijafurahia! Wanaowavisha Hawa Viongozi wetu ni kina nani?

Acha ujinga wewe, Hayati alikuwa hana hizo swaga za kishamba.

Dr JPM alikaa kwenye uwaziri zaidi ya miaka 20 kabla hajawa Rais, leo hii wewe Kalumanzira ndiyo ungemfundisha kuvaa vizuri?View attachment 2570855

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app

IMG_5643.jpg
 
Kila wakati ukifuatilia matukio tofauti ya kitaifa na yale kila siku unaweza kudhani anatoka tu nyumbani labda alisahau kuandaliwa au mke kashtukizwa au labda zile nguo muhimu hasa zipo kwa dobi.

Hebu tuangalie kwa pamoja hio suti ya makamu wetu wa Rais Dr. Mpango.

View attachment 2570816

Sijui ni vile ililetwa au ilishonwa pasi vipimo, yaani nguo inakuwa oversize why lakini?

View attachment 2570820
Kitambi nacho kikishazidi hata suti haipendezi tena.
 
Kila wakati ukifuatilia matukio tofauti ya kitaifa na yale kila siku unaweza kudhani anatoka tu nyumbani labda alisahau kuandaliwa au mke kashtukizwa au labda zile nguo muhimu hasa zipo kwa dobi.

Hebu tuangalie kwa pamoja hio suti ya makamu wetu wa Rais Dr. Mpango.

View attachment 2570816

Sijui ni vile ililetwa au ilishonwa pasi vipimo, yaani nguo inakuwa oversize why lakini?

View attachment 2570820
Sio nguo tu angalia hadi moka imejikunja hapo
 
Ndugu yangu,hao ni wazee,zile nguo za kumodoa jua hilo hawawezi,yaani mtu miaka 30 iliyopita alikuwa anavaa bwanga ghafla aanze kuvaa modo.Lazima uelewe kuna nguo za umri fulani na fulani
Suti haina shida ila we ulitaka iwe modo
Mseveni anachekesha jamani
 
Kubali ni washamba tu,
Jk ana miaka 70 lakini anatupiamo
Ustaarabu ulianzia pwani,watu wa bara kuvaa magome ndio asili yetu
 
Back
Top Bottom