Sijafurahia! Wanaowavisha Hawa Viongozi wetu ni kina nani?

kwa level yake nadhani ana washauri au watu wanaoangalia uvaaji wake na kumshauri, saa ingine hao wazee wanakuwaga wabishi
Ubishi utawaponza na wataendelea kuitwa "dunia ya tatu" hadi kwenye mavazi. Museveni ndo amefanyaje sasa. Unaweza kukuta suti ya diwani imemkaa vzr kuliko suti ya raisi. Hongera mama Samia.
 
Ni kweli pia unaweza kukuta wote waliomzunguka wa namsikiza yeye tu kila analoongea hawa wazee uwa Wanajifanya wajuaaji sana, hawajui kuwa mambo yanabadilika
Unakuta Wabishi Unamwambia Vaa Hivi Yeye Anataka Vile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…