Lema ni mjumbe wa Kamati Kuu Chadema, kwanini aseme atajitetea mwenyewe, kwani hakuwepo kwenye kikao, kwani maazimio ya KK ni ya kumtetea yeye au chama.
Ina maana akijitetea atakuwa anajitetea kupinga maazimio au watu watakaomdharau. Kama kila mjumbe ataamua kujitetea kivyake haoni kwamba atazidisha sintofahamu.
Godbless Lema kutoka X (Twitter) ameandika ---
"Maazimio ya kikao cha Kamati Kuu kilichofanyika Kigoma yatatangazwa hivi karibuni na viongozi wakuu wa chama. Nina matumaini kwamba yatatoa majibu kwa kelele na mijadala mingi iliyoibuka hivi karibuni. Hata hivyo, iwapo italazimu kutetea heshima yangu binafsi dhidi ya kauli mbalimbali za dharau na upotoshaji, nitafanya hivyo kwa ufasaha. Nasikitika kwamba naweza kujikuta katika jaribu hilo, lakini heshima ya mtu si jambo la kupuuzwa".