Sijamwelewa Lema, anasema anasubiri maazimio ya Kamati Kuu, iwapo hayataeleweka atalazimika kujitetea binafsi

Lema ni mjumbe wa Kamati Kuu Chadema, kwanini aseme atajitetea mwenyewe, kwani hakuwepo kwenye kikao, kwani maazimio ya KK ni ya kumtetea yeye au chama.

Ina maana akijitetea atakuwa anajitetea kupinga maazimio au watu watakaomdharau. Kama kila mjumbe ataamua kujitetea kivyake haoni kwamba atazidisha sintofahamu.

Godbless Lema kutoka X (Twitter) ameandika ---

"Maazimio ya kikao cha Kamati Kuu kilichofanyika Kigoma yatatangazwa hivi karibuni na viongozi wakuu wa chama. Nina matumaini kwamba yatatoa majibu kwa kelele na mijadala mingi iliyoibuka hivi karibuni. Hata hivyo, iwapo italazimu kutetea heshima yangu binafsi dhidi ya kauli mbalimbali za dharau na upotoshaji, nitafanya hivyo kwa ufasaha. Nasikitika kwamba naweza kujikuta katika jaribu hilo, lakini heshima ya mtu si jambo la kupuuzwa".
Hiyo ndio demokrasia.
 
Mkuu kwa heshima yako kipi hujaelewa hapo? Lema amekerwa na wanaopotosha kwa kumuhusisha na hayo mambo ya kitapeli hivyo akilazimika atarejesha heshima yake ambayo imechafuliwa. Mbona kaweka wazi kabisa?
 
Tetesi zinaonesha hivyo. Hela imemwagwa ya kutosha. Ni watu aina ya Lissu na Heche pekee ndiyo wanaweza kuikwepa.
Kwangu mimi watu watatu tu (waliopewa dhamana ya kukiongoza chama hiki) Tundu Lissu (M/Kiti) John Heche (VC - Tanganyika) na Said Issa (VC Zanzibar) wasipoyumba na wakaendelea kusimama imara na kuvishinda vishawishi vya mabilioni ya pesa zinazoletwa kwao kama hongo, chama hiki kitavuka kizingiti Kikuu cha mwisho, kitakuwa salama, stronger than ever na kitakuwa kipo tayari kuongoza dola kwa 100%...

Hawa ndio waliochaguliwa na umma ktk uchaguzi huru, wa wazi na wa haki kabisa na dunia nzima ikasema, hii ndiyo demokrasia na huu ndio uchaguzi...!!

Hawa wengine they can easily be replaced bila kuhitaji kutumia gharama kubwa kwa Mwenyekiti akiwa huko huko gerezani kufanya uteuzi wake. Na hata nafasi ya u-katibu mkuu nayo ni replaceable kwa kuwa ni ya kuteuliwa tu, huhitaji kuitisha mkutano mkuu wowote wa uchaguzi kabla ya muda kuwadia..

Lakini kwa katibu mkuu aliyepo sasa ndugu John Mnyika, sina shaka naye. Sisemi kuwa hahongeki, bali nasema ni mtu mwadilifu na mwoga wa kutenda uhalifu unaoweza kuharibu utu na image yake duniani na mbinguni..!
 
Kufanya harakati na mchaga ni changamoto. Siku yoyote ikiwekwa pesa anakugeuka.
Unaweza ku-back-up tuhuma zako na data? Ninachojua ni kuwa maeneo ya uchagani yana upinzani kuliko sehemu nyingi za Tanzania. Toa hesabu ni wachaga wangapi wamewahi kusaliti na wasio wachaga ni wangapi! Unajua Kigoma ni wangapi wamesaliti?
 
Tetesi zinaonesha hivyo. Hela imemwagwa ya kutosha. Ni watu aina ya Lissu na Heche pekee ndiyo wanaweza kuikwepa.
Hakuna kitu kibaya kama kutoa shutuma za usaliti bila kuwa na ushahidi. Mimi nadhani Lema binafsi na pengine Heche, wana wajibu wa kutoka hadharani na kueleza ukweli wa mambo. Hivyo Lema yuko sahihi kabisa.
 
Kigoma mkutano ilikuwa ni wa moto sana
Ni wachaga wachache sana wanaweza kufanya kazi ya kujitolea, bila kutegemea malipo. Especially wakiwa wanakaribia umri wa kustaff.
 
Hakuna kitu kibaya kama kutoa shutuma za usaliti bila kuwa na ushahidi. Mimi nadhani Lema binafsi na pengine Heche, wana wajibu wa kutoka hadharani na kueleza ukweli wa mambo. Hivyo Lema yuko sahihi kabisa.
Safu yote ya kamati kuu kipindi cha Mbowe ilikuwa ni wachaga na wote walisaliti. Kina mrema, wagapi wametuuza?
 
Aliondoka SLaa CDM imebaki ,Kaondoka Mbowe CDM imebaki.

Kata mti panda Mti ,Heche nakushauri ukiona mwanachama yeyote kafika BEI kula kichwa ,usimuangalie nyani usoni.
 
Hakuna kitu kibaya kama kutoa shutuma za usaliti bila kuwa na ushahidi. Mimi nadhani Lema binafsi na pengine Heche, wana wajibu wa kutoka hadharani na kueleza ukweli wa mambo. Hivyo Lema yuko sahihi kabisa.
Hizo ni tetesi tu. Mwisho wa siku ndiyo ukweli utajulikana.
 
Chadema kwa tulivyoiamini, hata akiondoka nani bado itaendelea kuwa dhahabu tu machoni pa wapenda haki wote nchini

Chadema kwa sasa haimtegemei mtu yeyote,

Iko hivi, Wananchi tulishachoka na jinsi mla watu CCM,
Chadema hata ikiongozwa na Tido jr bado itabamba tu
 
Lema ni mjumbe wa Kamati Kuu Chadema, kwanini aseme atajitetea mwenyewe, kwani hakuwepo kwenye kikao, kwani maazimio ya KK ni ya kumtetea yeye au chama.

Ina maana akijitetea atakuwa anajitetea kupinga maazimio au watu watakaomdharau. Kama kila mjumbe ataamua kujitetea kivyake haoni kwamba atazidisha sintofahamu.

Godbless Lema kutoka X (Twitter) ameandika ---

"Maazimio ya kikao cha Kamati Kuu kilichofanyika Kigoma yatatangazwa hivi karibuni na viongozi wakuu wa chama. Nina matumaini kwamba yatatoa majibu kwa kelele na mijadala mingi iliyoibuka hivi karibuni. Hata hivyo, iwapo italazimu kutetea heshima yangu binafsi dhidi ya kauli mbalimbali za dharau na upotoshaji, nitafanya hivyo kwa ufasaha. Nasikitika kwamba naweza kujikuta katika jaribu hilo, lakini heshima ya mtu si jambo la kupuuzwa".
WAmeingia wenyewe kwenye mtego wa CCM.

Amandla...
 
Sio wa kumuamini sana, hata zamani aliwahi kuuza ubunge alipokuwa TLP. Alipoingia cdm akishindana na Batilda alitaka kuchota hela, kama si watu wa Arusha kumuambia akipokea wanammaliza angeuza tena Jimbo.
Duuuh, watu mna record ya matukio ya nyuma huko mpaka nukta.
 
Lema naye kafika bei au imekuwaje

Hakuna cha bei wala nini, kuna wendwazimu wa lile kundi la wauaji wanahangaika kumchafua Lema, lakini hawatafanikiwa.

Kamati kuu itatoa taarifa inayowataa watu wapuuzi maneno yanayotengenezwa na yale machawa ya wauaji kuwa eti Lema amemsema vibaya Heche!! Jambo ambalo ni uwongo kabisa.
 
Lema ni mjumbe wa Kamati Kuu Chadema, kwanini aseme atajitetea mwenyewe, kwani hakuwepo kwenye kikao, kwani maazimio ya KK ni ya kumtetea yeye au chama.

Ina maana akijitetea atakuwa anajitetea kupinga maazimio au watu watakaomdharau. Kama kila mjumbe ataamua kujitetea kivyake haoni kwamba atazidisha sintofahamu.

Godbless Lema kutoka X (Twitter) ameandika ---

"Maazimio ya kikao cha Kamati Kuu kilichofanyika Kigoma yatatangazwa hivi karibuni na viongozi wakuu wa chama. Nina matumaini kwamba yatatoa majibu kwa kelele na mijadala mingi iliyoibuka hivi karibuni. Hata hivyo, iwapo italazimu kutetea heshima yangu binafsi dhidi ya kauli mbalimbali za dharau na upotoshaji, nitafanya hivyo kwa ufasaha. Nasikitika kwamba naweza kujikuta katika jaribu hilo, lakini heshima ya mtu si jambo la kupuuzwa".
Kuna wapumbavu walitoka kuwaandamania Hawa waganga njaa wa Chadomo 😂😂
 
Katika kipindi hiki cha mpito madudu,upotoshaji utakuwepo ma tena wakutosha!
 
Back
Top Bottom