Sijamwelewa Lema, anasema anasubiri maazimio ya Kamati Kuu, iwapo hayataeleweka atalazimika kujitetea binafsi

Dahhh vita ya ukombozi haijawahi kuwa nyepesi kamwe, by the way Kila mtu ana bei yake ila nafkiri so far lisu tu ndo Hana Bei kabisa.
 
Napitia comments za wanachadema humu tena tena, hakika narudia kusema kuwa chadema wengi waliopo humu NI WAPUMBAVU MNOOO. Huo ndo ukweli.
 
Huwa simuamini Lema kwani wanasema once a Whore always a Whore
Huyo Mangi muoga muoga sana hashindwi kufika bei..!!

Wachaga hawana misimamo, hapo mwanaume Heche tu!!
Tata Mura hajawahi kuendeshwa pamoja na Lissu hao ndio wanaume..!!
 
Lile prado karudisha kwa Mnyarwanda? haha eti hana bei
 
Sio wa kumuamini sana, hata zamani aliwahi kuuza ubunge alipokuwa TLP. Alipoingia cdm akishindana na Batilda alitaka kuchota hela, kama si watu wa Arusha kumuambia akipokea wanammaliza angeuza tena Jimbo.
Mmewnza Tena kufitiniana sio?
 
"Maazimio ya kikao cha Kamati Kuu kilichofanyika Kigoma yatatangazwa hivi karibuni na viongozi wakuu wa chama. Nina matumaini kwamba yatatoa majibu kwa kelele na mijadala mingi iliyoibuka hivi karibuni. Hata hivyo, iwapo italazimu kutetea heshima yangu binafsi dhidi ya kauli mbalimbali za dharau na upotoshaji, nitafanya hivyo kwa ufasaha. Nasikitika kwamba naweza kujikuta katika jaribu hilo, lakini heshima ya mtu si jambo la kupuuzwa".
Wanagonganishwa vichwa na watu wapuuzi kabisa na wao bila kujitambua wanataka kucheza ngoma ya kipuuzi namna hiyo?

Sijui. Lakini kuna kitu na Lema huwa kinanitia hofu juu yake; lakini ukiniuliza ni kitu gani nitapata shida kubwa kukieleza.

Ni basi tu, acha mambo yataji-sort yenyewe taratibu.
Siamini kuwa kuna nafasi ya kuiondoa CHADEMA kwenye reli tena. Kinachowezekana ni kuendelea kujisafisha tu kuelekea mbele.
 
Sio wa kumuamini sana, hata zamani aliwahi kuuza ubunge alipokuwa TLP. Alipoingia cdm akishindana na Batilda alitaka kuchota hela, kama si watu wa Arusha kumuambia akipokea wanammaliza angeuza tena Jimbo.
Sasa najiuliza walimkosakosaje huyu wakati wa mtifuano uliomuondoa Mbowe?
Alikosa gawiwo?
Maana wangemnasa huyu hali ingekuwa ngumu zaidi wakati huo.
Huenda wakati huu tungekuwa tumeisahau kabisa CHADEMA.
 
Jamaa hebu punguza hizi nyuzi zako kuhusu hili jambo, unaonekana umeshachukua upande wakati bado ni mapema.

Lema ana haki ya kujitetea personally, kama ilivyo kwa Heche.

Kama kuna shutuma kumhusu Heche anapaswa kuzitolea majibu personally, asijibiwe na mleta mada au mwingine yeyote.

Kumuamini sana mtu kupitiliza nalo linaweza kuwa tatizo akatumia huo mwanya kuharibu, Heche sio malaika asiyegusika, anatakiwa kujibu mwenyewe tuhuma dhidi yake, asijibiwe.
 
Kwanza jiridhishe tuhuma zimetolewa wapi na nani na kwa utaratibu gani.
Ukianzia hapo nadhani itakuwa rahisi kuyasema haya unayozungumzia hapa.
 
Mkuu kwa heshima yako kipi hujaelewa hapo? Lema amekerwa na wanaopotosha kwa kumuhusisha na hayo mambo ya kitapeli hivyo akilazimika atarejesha heshima yake ambayo imechafuliwa. Mbona kaweka wazi kabisa?
Kwamba maelezo yake kwenye kikao cha Kamati Kuu hayakutosheleza kumsafisha; na sasa atatoka katika taratibu za chama akajisafishe nje ya chama?

Hii inaleta mantiki sahihi?

Hakuna utaratibu wa zaidi ndani ya chama juu ya Kamati Kuu?
 
Huyo Mangi muoga muoga sana hashindwi kufika bei..!!

Wachaga hawana misimamo, hapo mwanaume Heche tu!!
Tata Mura hajawahi kuendeshwa pamoja na Lissu hao ndio wanaume..!!
Inaumiza watu kuwaamini kuwa wanapigania sisi wanyonge, kumbe wanahangaikia matumbo yao kama ilivyo kwa CCM. Ndiyo maana mimi napigania mgombea binafsi ili wale ambao ni kweli wafia wanyonge wachomoze. Hapo ndipo udhulumati wa CCM utafika mwisho. la sivyo tunatwanga maji katika kinu
 
Nasikitika sana kuona CDM wanameza ndoano ya CCM

“Divide and rule”
 
Ama kweli mipango inasukwa chini ya pazia, naona zinatumika kamati kuu kutekeleza ajenda.
Hadi kwenye ubwabwa kuna tapeli alijadiliwa na KK.
 
Mkuu kwa heshima yako kipi hujaelewa hapo? Lema amekerwa na wanaopotosha kwa kumuhusisha na hayo mambo ya kitapeli hivyo akilazimika atarejesha heshima yake ambayo imechafuliwa. Mbona kaweka wazi kabisa?
Endapo kamati itasema tuhuma ni za uongo Lema ataendelea kujitetea nini tena.
 
Nasikitika sana kuona CDM wanameza ndoano ya CCM

“Divide and rule”
Sioni cha ndoano hapo ni kelele tu ambazo hazina msingi na usikute hata maazimio yao yasigusie kitu kama hicho.
 
Back
Top Bottom