Sijamwelewa Lema, anasema anasubiri maazimio ya Kamati Kuu, iwapo hayataeleweka atalazimika kujitetea binafsi

Sijamwelewa Lema, anasema anasubiri maazimio ya Kamati Kuu, iwapo hayataeleweka atalazimika kujitetea binafsi

Sawa tu na kama ikithibitika ana hatia aadhibiwe inavyositahili kwa mujibu wa Katiba na Taratibu za Chama.
Dalili zinaonyesha ana hatia ameanza kujihami kwa njia ya Mitandao jambo ambalo ni kinyume na taratibu za Chama..
Lema hana hatia sema kuna kitu lema haungani nacho kumbuka yule mangi ni mtu wa kusimama kwenye haki na kumtetea mtu si mtu wa janjajanja ...wengine wanapenda janjajanja
 
Lema aliposema anasubiri KK ikae ili ikibidi nae atoe maelezo yake, alikuwa anajizuia kuzungumza mtandaoni.

Hilda yeye mtandaoni ndio ofisi yake ilipo, ndipo KK yake ilipo, hawa watu wawili ni tofauti kabisa kimajukumu.

Wakati Lema ana uwezo wa kupata taarifa direct toka kwenye vikao vya chama, Hilda yeye anasubiri kuhadithiwa ndio akaandike mtandaoni!.

Naamini hiyo tofauti ya hao wawili kimuundo na majukumu ndio iliyosababisha Lema kuamua kuweka akiba ya maneno kwa wakati ule.
Lema hakuwa na sababu ya kuandika chochote mtandaoni. Huyo Hilda hakutaja jina la mtu yeyote mshukiwa.
Sasa Lema atakuwa anamjibu nani huku mitandaoni iwapo maswala yapo ndani ya KK ambako yeye yumo ndani yake?
Kama kayasikia huko ndani ya KK, kwa nini ayalete mtandaoni?
 
Tetesi za mtandaoni ndio zimemfanya Lema akaandika.
 
Kiongozi ambaye yupo jikoni penyewe anaongozwa na tetesi za mitaani; na kuzitolea maoni?
Sioni ubaya kwake kujibu kama angeamua kufanya hivyo kwa kirefu, sababu muanzisha tetesi hayupo jikoni, asingeweza kumjibia jikoni, ilikuwa lazima kwake Lema kumjibu Hilda akiwa ofisini kwake mtandaoni.

Pia kamati kuu huwa haikutani kila siku, huwezi kukaa usubiri mkutano wa KK huku ukiendelea kuchafuliwa mtandaoni kila siku.
 
Sio wa kumuamini sana, hata zamani aliwahi kuuza ubunge alipokuwa TLP. Alipoingia cdm akishindana na Batilda alitaka kuchota hela, kama si watu wa Arusha kumuambia akipokea wanammaliza angeuza tena Jimbo.

Nakumbuka
 
Afadhali Chadema wananyukana kwa maneno, Nchimbi alisema tupambanie katiba mkamteka leo yupo wapi.
Dr. Nchimbi alitekwa na nani wewe dhaifu?!

Tatizo mko soft sana.

Miaka yote mpo humu lakini bado hamkomai kidemokrasia, bado mnakasumba ya kumfunga mtu mdomo kwa kumtengenezea speculations za hovyo kisa anamuuliza maswali mnayempenda!.

Acha uchawa wa kishamba.
 
Yuko wapi akatoe pole kwa mfiwa.
 
Yuko wapi akatoe pole kwa mfiwa.
Jione ulivyo mjinga, umeshaisahau mada yako umerukia kwa Dr. Nchimbi.

Nakwambia tena, i'm not a coward like you kuogopa kuandika nacho amini kisa mtanihisi mnavyopenda kama wapiga ramli.

By the way nimeshawazoea kwa hiyo tabia yenu, you won't shut me up, cuz i'm not a mental slave like you.

Nitahoji milele, that'z who i'm.
 
Kwahiyo unataka wewe ndio tu uhoji ya Lema wengine tusihoji alipo Nchimbi. Stupid.
 
Kwahiyo unataka wewe ndio tu uhoji ya Lema wengine tusihoji alipo Nchimbi. Stupid.
Anzisha mada ya Dr. Nchimbi wewe, akili zenu fupi sana ndio maana mnaishia kupiga ramli tu humu ndani.
 
Back
Top Bottom