Sijamwelewa Lema, anasema anasubiri maazimio ya Kamati Kuu, iwapo hayataeleweka atalazimika kujitetea binafsi

Sijamwelewa Lema, anasema anasubiri maazimio ya Kamati Kuu, iwapo hayataeleweka atalazimika kujitetea binafsi

Chadema huwa mnakivuruga chama chenu kwa upumbavu wenu wenyewe.
Mmefukuzana sana tangu kipindi cha Walid Kaborou, Zito, Dr Slaa, Covid 19 na wengineo hamjui kuwa wenzenu wanatumia ujinga wenu kuwadhoofisha ?
Aliyefukuzwa alistahili, na kwa taarifa yako Dr.Slaa hakufukuzwa bali aliondoka kwa kuzira. Hakuna sifa ya kukumbatia watu wanaopoteza sifa ya kuwa kwenye chama ili kuwa na wingi. Wingi pekee sio sifa, bali kufuata misingi ndio jambo la muhimu.
 
Ni hivi, unajifanya uko smart lakini ni mpuuzi fulani. Huku kwenye mitandao sio kwenye vikao vya cdm. Humu watu wanajadili wapendavyo maana sio kikao rasmi cha chama, labda hujui maana ya mitandao ya kijamii. Kama wengine hawajadili hiyo ajenda ya kuvunjwa kwa katiba, ww umeijadili wapi ili tuone ww ni tofauti na hao unaowalaumu?

Kwenye mitandao ya kijamii kunajadiliwa chochote kinachokuja, na kila mmoja kwa uelewa na hisia zake. Ukitaka ajenda fulani tu zijadiliwe, nenda kwenye platform rasmi za kufanya hayo. Lakini huku kwenye mitandao mijadala ni ya chochote ie, umbea, soka, uchawi, uesharati nk.
Haya nakubaliana na wewe kuwa mimi ni mpuuzi.
Turudi kwenye hoja ya msingi sasa hili la nyinyi kila tuhuma dhidi ya chama chenu kugeuka kuwa agenda yenu hamuoni kuwa inakidhoofisha chama?
Kwa sasa ukiingia mtandaoni nyinyi ndiyo mnaozungusha hii agenda hamuoni kuwa mnazika agenda za maana za kitaifa ?

Mnafanya hivi kwa faida ya nani ?
 
Wafuasi wasio na kadi hawawezi kutengeneza chama imara hao ni mashabiki wa muda tu huwa wanabadilika kulingana na wakati tu.

Walid Kaborou aliondoka na wafuasi wake, Zito aliondoka na wafuasi wake, Slaa akaondoka na wafuasi wake, Mbowe kaondoka na wafuasi wake mnategemea wafuasi wataendelea kuamini taasisi yenye mtazamo wa nyegere kwamba kila msimu lazima mmfukuzane.

Hamjifunzi ?
Hao akina Zito huko walioko wana impact gani? Hatukumbatii wingi mbovu, tunajali wingi wenye tija. Sio wingi wa masnitch.
 
Mtafukuzana mpaka lini ? Hii tabia yenu ya kubeba kila kinacholetwa mtandaoni itawafikisha wapi ?
Aliyefukuzwa alistahili, na kwa taarifa yako Dr.Slaa hakufukuzwa bali aliondoka kwa kuzira. Hakuna sifa ya kukumbatia watu wanaopoteza sifa ya kuwa kwenye chama ili kuwa na wingi. Wingi pekee sio sifa, bali kufuata misingi ndio jambo la muhimu
 
Hao akina Zito huko walioko wana impact gani? Hatukumbatii wingi mbovu, tunajali wingi wenye tija. Sio wingi wa masnitch.
Kina Zito hawana impact kwa sababu mliwachafua leo hii wangekuwepo Kigoma ingekuwa ngome yenu ila kwa saaa siyo ngome tena.
 
Haya nakubaliana na wewe kuwa mimi ni mpuuzi.
Turudi kwenye hoja ya msingi sasa hili la nyinyi kila tuhuma dhidi ya chama chenu kugeuka kuwa agenda yenu hamuoni kuwa inakidhoofisha chama?
Kwa sasa ukiingia mtandaoni nyinyi ndiyo mnaozungusha hii agenda hamuoni kuwa mnazika agenda za maana za kitaifa ?

Mnafanya hivi kwa faida ya nani ?
Narudia tena, hii si mada pekee humu kwenye mitandao ya kijamii. Itajadiliwa siku moja 2, kisha watu watajadili mengineyo. Huwezi kuzuia mijadala kwenye mitandao ya kijamii. Cha muhimu chama wakiwa kwenye vikao vyao rasmi vya chama wafanye yanayotakiwa. Lakini kwenye mitandao ya kijamii hakuna chujio.
 
Mtafukuzana mpaka lini ? Hii tabia yenu ya kubeba kila kinacholetwa mtandaoni itawafikisha wapi ?
Wanaofukuzwa ni baada ya tuhuma zao kudhibitika kwa kungeuka. Labda useme huku mitandaoni ndio kilipo kikao rasmi cha cdm, hivyo hapa tuko kwenye hatua ya kuwafukuza wasioaminika.
 
Hii mada yenu unajua imezika agenda ya waziri wa mambo ya ndani kuvunja katiba?
Main stream media haziwapi nafasi jukwaa pekee la kwenu ni social media lakini huku nako mnashambuliana wenyewe kwa wenyewe tu.

hamtakaa mchukue madaraka ya nchi kama mtaendelea kuwa na akili za nyumbu namna hii
Narudia tena, hii si mada pekee humu kwenye mitandao ya kijamii. Itajadiliwa siku moja 2, kisha watu watajadili mengineyo. Huwezi kuzuia mijadala kwenye mitandao ya kijamii. Cha muhimu chama wakiwa kwenye vikao vyao rasmi vya chama wafanye yanayotakiwa. Lakini kwenye mitandao ya kijamii hakuna chujio.
ii
 
Kina Zito hawana impact kwa sababu mliwachafua leo hii wangekuwepo Kigoma ingekuwa ngome yenu ila kwa saaa siyo ngome tena.
Majimbo ya Kigoma huko ni mara ngapi cdm wameshinda bila Zito kuwa cdm? Kwa taarifa yako kukiwa na uchaguzi wa haki cdm wanashinda majimbo mengi tu huko Kigoma. Unachoongea utadhani hicho chama cha Zito ndio kilichokamata huko Kigoma. Yaani ni kama hata hujui unaongea nini.

Tatizo kwa sasa ni kufukuza wanaokengeuka ndani ya cdm au kunajisi chaguzi? Unapimaje madhara ya hatua zinazochukuliwa ndani ya cdm kwa hizi chaguzi za kihuni?
 
Hii mada yenu unajua imezika agenda ya waziri wa mambo ya ndani kuvunja katiba?
Main stream media haziwapi nafasi jukwaa pekee la kwenu ni social media lakini huku nako mnashambuliana wenyewe kwa wenyewe tu.

hamtakaa mchukue madaraka ya nchi kama mtaendelea kuwa na akili za nyumbu namna hii

ii
Unaongea utoto gani, kabla ya hii mada, huyo Waziri wa mambo ya ndani alifuata hiyo katiba? Ukiukwaji mwingine wa katiba ulifanywa kwa kusubiri mijadala ya cdm humu ndani?
 
Lema hakusema kuwa atajitetea ila alisema akilazimika atasema ili kulinda heshima yake. Wahuni wale wa G55 wanamchafua kuwa anataka Heche aondoke. Sasa Heche kaiba nini? Hizo hela za mafuta za tonetone au? Akili zingine banah
The question is, why him and not Mahinyila or Lyamzito? Kwanini ajishuku yeye? something wrong?

Wenye akili tu watahoji haya maswali wengine wataishia kusema ana haki ya kujitetea.

The Guilty Are Afraid.
 
Unaongea utoto gani, kabla ya hii mada, huyo Waziri wa mambo ya ndani alifuata hiyo katiba? Ukiukwaji mwingine wa katiba ulifanywa kwa kusubiri mijadala ya cdm humu ndani?
Nakuchia hili.
Nendeni mkaijifunze kwa Martin Maranja Masese namna ya kushughulika na agenda zinazowatoa mchezoni.
 
Nakuchia hili.
Nendeni mkaijifunze kwa Martin Maranja Masese namna ya kushughulika na agenda zinazowatoa mchezoni.
Nenda kajifunze ww, sio wote ni wanachama wa cdm bali mashabiki. Ukitaka ajenda moja tu ijadiliwe nenda kwenye vikao vya taasisi.
 
Hizi tuhuma zimetolewa mtandaoni na Hilda, sijaona pengine tofauti, nakumbuka hata huo uzi upo humu JF.

Hata utaratibu aliotumia nae kutoa tuhuma aliangalia upande mmoja, hakuuliza upande wa pili unasema nini apate maoni yao ili aijue picha kamili.

Kwa hilo nimejiridhisha, Hilda nae hayupo KK ya Chadema, zaidi anaishi kwa kupewa taarifa na wengine, anaweza kupotoshwa pia, sio malaika yule, asiaminiwe 100%
Hayo aliyoandika Hilda nimeyaona na nimeyatolea maoni. Yeye kama ilivyo sasa kwa Lema wanazungumzia mitandaoni siyo ndani ya chama; hilo ndilo tatizo; siyo nani ni malaika na nani siyo malaika.
 
Sio wa kumuamini sana, hata zamani aliwahi kuuza ubunge alipokuwa TLP. Alipoingia cdm akishindana na Batilda alitaka kuchota hela, kama si watu wa Arusha kumuambia akipokea wanammaliza angeuza tena Jimbo.
Sasa hivi Chadema ni vururuvururu! Na tuliishawahi kusema humu kuwa kila mwana Chadema ana "price tag". Ni suala la muda na kumeet the balance!
 
Hayo aliyoandika Hilda nimeyaona na nimeyatolea maoni. Yeye kama ilivyo sasa kwa Lema wanazungumzia mitandaoni siyo ndani ya chama; hilo ndilo tatizo; siyo nani ni malaika na nani siyo malaika.
Lema aliposema anasubiri KK ikae ili ikibidi nae atoe maelezo yake, alikuwa anajizuia kuzungumza mtandaoni.

Hilda yeye mtandaoni ndio ofisi yake ilipo, ndipo KK yake ilipo, hawa watu wawili ni tofauti kabisa kimajukumu.

Wakati Lema ana uwezo wa kupata taarifa direct toka kwenye vikao vya chama, Hilda yeye anasubiri kuhadithiwa ndio akaandike mtandaoni!.

Naamini hiyo tofauti ya hao wawili kimuundo na majukumu ndio iliyosababisha Lema kuamua kuweka akiba ya maneno kwa wakati ule.
 
Back
Top Bottom