Kigoma mkutano ilikuwa ni wa moto sanaLema ni mjumbe wa Kamati Kuu Chadema, kwanini aseme atajitetea mwenyewe, kwani hakuwepo kwenye kikao, kwani maazimio ya KK ni ya kumtetea yeye au chama.
Ina maana akijitetea atakuwa anajitetea kupinga maazimio au watu watakaomdharau. Kama kila mjumbe ataamua kujitetea kivyake haoni kwamba atazidisha sintofahamu.
Godbless Lema kutoka X (Twitter) ameandika ---
"Maazimio ya kikao cha Kamati Kuu kilichofanyika Kigoma yatatangazwa hivi karibuni na viongozi wakuu wa chama. Nina matumaini kwamba yatatoa majibu kwa kelele na mijadala mingi iliyoibuka hivi karibuni. Hata hivyo, iwapo italazimu kutetea heshima yangu binafsi dhidi ya kauli mbalimbali za dharau na upotoshaji, nitafanya hivyo kwa ufasaha. Nasikitika kwamba naweza kujikuta katika jaribu hilo, lakini heshima ya mtu si jambo la kupuuzwa".
Sio wa kumuamini sana, hata zamani aliwahi kuuza ubunge alipokuwa TLP. Alipoingia cdm akishindana na Batilda alitaka kuchota hela, kama si watu wa Arusha kumuambia akipokea wanammaliza angeuza tena Jimbo.Lema naye kafika bei au imekuwaje
Huwa simuamini Lema kwani wanasema once a Whore always a WhoreSio wa kumuamini sana, hata zamani aliwahi kuuza ubunge alipokuwa TLP. Alipoingia cdm akishindana na Batilda alitaka kuchota hela, kama si watu wa Arusha kumuambia akipokea wanammaliza angeuza tena Jimbo.
AbsolutelyHuwa simuamini Lema kwani wanasema once a Whore always a Whore
DuhSio wa kumuamini sana, hata zamani aliwahi kuuza ubunge alipokuwa TLP. Alipoingia cdm akishindana na Batilda alitaka kuchota hela, kama si watu wa Arusha kumuambia akipokea wanammaliza angeuza tena Jimbo.
Tetesi zinaonesha hivyo. Hela imemwagwa ya kutosha. Ni watu aina ya Lissu na Heche pekee ndiyo wanaweza kuikwepa.Lema naye kafika bei au imekuwaje
Anamaanisha atakuwa tayari kutoa maelezo ya ziada endapo watu wataendelea kuwa na maswali zaidi.Lema ni mjumbe wa Kamati Kuu Chadema, kwanini aseme atajitetea mwenyewe, kwani hakuwepo kwenye kikao, kwani maazimio ya KK ni ya kumtetea yeye au chama.
Ina maana akijitetea atakuwa anajitetea kupinga maazimio au watu watakaomdharau. Kama kila mjumbe ataamua kujitetea kivyake haoni kwamba atazidisha sintofahamu.
Godbless Lema kutoka X (Twitter) ameandika ---
"Maazimio ya kikao cha Kamati Kuu kilichofanyika Kigoma yatatangazwa hivi karibuni na viongozi wakuu wa chama. Nina matumaini kwamba yatatoa majibu kwa kelele na mijadala mingi iliyoibuka hivi karibuni. Hata hivyo, iwapo italazimu kutetea heshima yangu binafsi dhidi ya kauli mbalimbali za dharau na upotoshaji, nitafanya hivyo kwa ufasaha. Nasikitika kwamba naweza kujikuta katika jaribu hilo, lakini heshima ya mtu si jambo la kupuuzwa".
Sahihi kabisa. Watu hawajaelewa alichomanisha LemaAnamaanisha atakuwa tayari kutoa maelezo ya ziada endapo watu wataendelea kuwa na maswali zaidi.