samson emma
Member
- Jun 4, 2026
- 13
- 5
Lema hana hatia sema kuna kitu lema haungani nacho kumbuka yule mangi ni mtu wa kusimama kwenye haki na kumtetea mtu si mtu wa janjajanja ...wengine wanapenda janjajanjaSawa tu na kama ikithibitika ana hatia aadhibiwe inavyositahili kwa mujibu wa Katiba na Taratibu za Chama.
Dalili zinaonyesha ana hatia ameanza kujihami kwa njia ya Mitandao jambo ambalo ni kinyume na taratibu za Chama..
Ni kweli, ulitakaje sasa?Hayupo. Awe Chadema; awe CCM. Hayupo. Kwahiyo, Wana Chadema na Wana CCM, ngoma droo!
Nataka kusema Chadema au chama kingine chochote kile kinauwezo wa kuishinda CCM kuongoza nchi hii.Ni kweli, ulitakaje sasa?
Lema hakuwa na sababu ya kuandika chochote mtandaoni. Huyo Hilda hakutaja jina la mtu yeyote mshukiwa.Lema aliposema anasubiri KK ikae ili ikibidi nae atoe maelezo yake, alikuwa anajizuia kuzungumza mtandaoni.
Hilda yeye mtandaoni ndio ofisi yake ilipo, ndipo KK yake ilipo, hawa watu wawili ni tofauti kabisa kimajukumu.
Wakati Lema ana uwezo wa kupata taarifa direct toka kwenye vikao vya chama, Hilda yeye anasubiri kuhadithiwa ndio akaandike mtandaoni!.
Naamini hiyo tofauti ya hao wawili kimuundo na majukumu ndio iliyosababisha Lema kuamua kuweka akiba ya maneno kwa wakati ule.
Tetesi za mtandaoni ndio zimemfanya Lema akaandika.Lema hakuwa na sababu ya kuandika chochote mtandaoni. Huyo Hilda hakutaja jina la mtu yeyote mshukiwa.
Sasa Lema atakuwa anamjibu nani huku mitandaoni iwapo maswala yapo ndani ya KK ambako yeye yumo ndani yake?
Kama kayasikia huko ndani ya KK, kwa nini ayalete mtandaoni?
Kiongozi ambaye yupo jikoni penyewe anaongozwa na tetesi za mitaani; na kuzitolea maoni?Tetesi za mtandaoni ndio zimemfanya Lema akaandika.
Sioni ubaya kwake kujibu kama angeamua kufanya hivyo kwa kirefu, sababu muanzisha tetesi hayupo jikoni, asingeweza kumjibia jikoni, ilikuwa lazima kwake Lema kumjibu Hilda akiwa ofisini kwake mtandaoni.Kiongozi ambaye yupo jikoni penyewe anaongozwa na tetesi za mitaani; na kuzitolea maoni?
Hutaki freedom of speech, acheni uoga.Nilianza kumtilia mashaka kitambo.
Sio wa kumuamini sana, hata zamani aliwahi kuuza ubunge alipokuwa TLP. Alipoingia cdm akishindana na Batilda alitaka kuchota hela, kama si watu wa Arusha kumuambia akipokea wanammaliza angeuza tena Jimbo.
Afadhali Chadema wananyukana kwa maneno, Nchimbi alisema tupambanie katiba mkamteka leo yupo wapi.Hutaki freedom of speech, acheni uoga.
Dr. Nchimbi alitekwa na nani wewe dhaifu?!Afadhali Chadema wananyukana kwa maneno, Nchimbi alisema tupambanie katiba mkamteka leo yupo wapi.
Yuko wapi akatoe pole kwa mfiwa.Dr. Nchimbi alitekwa na nani wewe dhaifu?!
Tatizo mko soft sana.
Miaka yote mpo humu lakini bado hamkomai kidemokrasia, bado mnakasumba ya kumfunga mtu mdomo kwa kumtengenezea speculations za hovyo kisa anamuuliza maswali mnayempenda!.
Acha uchawa wa kishamba.
Jione ulivyo mjinga, umeshaisahau mada yako umerukia kwa Dr. Nchimbi.Yuko wapi akatoe pole kwa mfiwa.
Kwahiyo unataka wewe ndio tu uhoji ya Lema wengine tusihoji alipo Nchimbi. Stupid.Jione ulivyo mjinga, umeshaisahau mada yako umerukia kwa Dr. Nchimbi.
Nakwambia tena, i'm not a coward like you kuogopa kuandika nacho amini kisa mtanihisi mnavyopenda kama wapiga ramli.
By the way nimeshawazoea kwa hiyo tabia yenu, you won't shut me up, cuz i'm not a mental slave like you.
Nitahoji milele, that'z who i'm.
Anzisha mada ya Dr. Nchimbi wewe, akili zenu fupi sana ndio maana mnaishia kupiga ramli tu humu ndani.Kwahiyo unataka wewe ndio tu uhoji ya Lema wengine tusihoji alipo Nchimbi. Stupid.