Sijaolewa kwasababu "ndoa za watu zinanivunja moyo"

Sijaolewa kwasababu "ndoa za watu zinanivunja moyo"

MBONA MAGARI YANAANGUKA KILA SIKU NA HUACHI KUYAPANDA,TULIZA MSHONO MKUU NJOO PM
Nakutaadharisha mkuu, huko PM yatakayo kukuta usije ukarudi hapa kwa msangao na kuwasema wana jeiefu....[emoji23][emoji23]
 
Juzi ulikuja hapa na uzi kwamba upo kwenye ndoa ya miezi nane lakini unampenda boyfriend kuliko mume

Mods tunaomba aina ya watu kama huyu muwafungie kabisa maana wanaondoa credibility ya JF
Hii jamaa nilisha istukia kitambo sana, nakumbuka hata ilipelekea nikaingia nae kwenye msuguano mkali ambao ulisababisha nipigwe ban.
 
Hii jamaa nilisha istukia kitambo sana, nakumbuka hata ilipelekea nikaingia nae kwenye msuguano mkali ambao ulisababisha nipigwe ban.
Halafu ni Me, sema nahisi ni mtatuliwa maarufu
 
Bwana wamajeshi leo ainuliweee
Bwana wamabwana ainuliweee

Anayetujali leo ainuliweee
Bwana wamabwana ainuliweee

Binti kwanza hapo ulipo Sema
AHSANTE MUNGU

Nimekuwa huku milimani nikiomba nipate MKE hakika NIMEKUPATA
Naomba tuanzishe tuyajenge
 
Mm sijajolewa na natamani siku ifike nije nimpate wangu wa peke yangu atakaye nipenda kwa dhati ya moyo wake. Halafu atulie tuli. Bila hivyo siolewi.

Mpk sasa nina miaka 29, lkn kila nikitaka kuingia kwenye ndoa moyo unasita. Kwasabbb tangu nipevuke nimekuwa natongozwa na wanaume (lkn walio wengi ni waume za watu).

Sasa najiuliza inamaana na mm nikiingia kwenye ndoa mume wangu atakuwa anachepuka kama hawa? Sasa kama una mume halafu kucha kutwa anahaingaika na akina dada wa kitaa, nini maana yake?

Ndoa nn faida yake ikiwa hata ukiwa nayo mwenzi wako anachepuka?

Wanawake wengi wameridhika na ujinga huu. Ukiongea nao wanasema "wanaume ndiyo walivyo au wanaume hawaridhiki". Sasa kama hawaridhiki? Ndiyo nijiingize kwenye kitu hatari? Nikipata magonjwa je?

Kwa ujinga huu, siolewi.
Unafiga gani na 7,9 au 8 tuanzie hapo au kijelele miaka 29 hujaolewa
 
Juzi ulikuja hapa na uzi kwamba upo kwenye ndoa ya miezi nane lakini unampenda boyfriend kuliko mume

Mods tunaomba aina ya watu kama huyu muwafungie kabisa maana wanaondoa credibility ya JF

Atakuwa dume huyu, kutaka kutuchafua wanawake
 
Juzi ulikuja hapa na uzi kwamba upo kwenye ndoa ya miezi nane lakini unampenda boyfriend kuliko mume

Mods tunaomba aina ya watu kama huyu muwafungie kabisa maana wanaondoa credibility ya JF
Mods wakimpiga ban huyu wanipige pia ya wiki, nawaruhusu. Huyu tangu huko anajiandikia na kuchanganya madesa. I wonder mods hawamuoni au wanapenda anavyojichanganyia jinsia! Au nao wanafurahia uandishi wa ajabu ajabu hivi.
 
Back
Top Bottom