Ni sheria za nchi husika
Kula, Kutafuna, Kunywa maji kwenye mazoezi, au kula mchana hadharani wakati wa Ramadhani ni uhalifu katika nchi za kiarabu UAE.
Wakati wa Ramadhani, hairuhusiwi kula, kunywa au kuvuta hadharani nyakati za mchana
Adhabu kwa mtu anayeonekana kukiuka sheria inaweza kuwa kifungo cha hadi mwezi mmoja, au faini ya Dirham 2,000.
Katika Imani Unafuata Sheria ya nchi au Sheria ya Allah iliyopo katika Quran?Ni sheria za nchi husika
Kula, Kutafuna, Kunywa maji kwenye mazoezi, au kula mchana hadharani wakati wa Ramadhani ni uhalifu katika nchi za kiarabu UAE.
Wakati wa Ramadhani, hairuhusiwi kula, kunywa au kuvuta hadharani nyakati za mchana
Adhabu kwa mtu anayeonekana kukiuka sheria inaweza kuwa kifungo cha hadi mwezi mmoja, au faini ya Dirham 2,000.
Tuwasamehe bwana mdogo tatizo ni allahKule zanzibar wame kamatwa watu 12 kwa kula hadharani yani walivyo kua na akili fupi kama njia ya kwenda chooni wanaona eti kula hadharani kipindi hiki ambacho wao wana jishindisha njaa ni dhambi na ni makosa kisheria alafu ushoga uliojaa kule wanaona kawaida tuu na wala huwezi kusikia wanakemea na kusema ni dhambi
Dini ya Kiislamu Ndo Dini inayoongoza kwa Mauaji Kisa tu Mtu yule kazini au mkristu,Uarabuni ndo Wanaowafanyia Ukatili wa kingono Wafanyakazi wa ndani na Kuficha Passports zao, Mungu wengi Hawamjui Jinsi Wanavyojinadi Wanamjua Ingaawa Hawatimizi Maneno yake na Huruma yake everyone Has GodTukiwa tuna masiku kadhaa tokea mfungo uanze nimejaribu kukutana na changamoto kadhaa kwa baadhi ya watu wakikereka na watu wanaokula mbele yao huku wakiwa hawajafunga.
My take
Sijaona andiko linaloashiria kuonesha kwamba ni vibaya kula mbele ya mtu aliyefunga.
Dhambi ipo kwa mtu ambaye anatakiwa afunge na hajafunga na wala hana sababu ya msingi.
dhambi hiyo itakuwa ni kwa sababu hajafunga na wala sio dhambi kwa sababu ya kula mbele ya mtu aliyefunga.
Na wala sijaona andiko linalomlazimisha mfungaji ati achukie kitendo cha mtu kula mbele yake.
Matumizi mabaya ya maandishi
Ile dini ya mwilini, misingi yake ya uongo, inaundwa na yule joka aliyetupwa kuzimu, baba wa uongo, anayeudanganya ulimwengu wote.Tukiwa tuna masiku kadhaa tokea mfungo uanze nimejaribu kukutana na changamoto kadhaa kwa baadhi ya watu wakikereka na watu wanaokula mbele yao huku wakiwa hawajafunga.
My take
Sijaona andiko linaloashiria kuonesha kwamba ni vibaya kula mbele ya mtu aliyefunga.
Dhambi ipo kwa mtu ambaye anatakiwa afunge na hajafunga na wala hana sababu ya msingi.
dhambi hiyo itakuwa ni kwa sababu hajafunga na wala sio dhambi kwa sababu ya kula mbele ya mtu aliyefunga.
Na wala sijaona andiko linalomlazimisha mfungaji ati achukie kitendo cha mtu kula mbele yake.
UbarikiweMatumizi mabaya ya maandishi
Pale Ulitaka kusema nini mkuu halafu ukasahauUbarikiwe
Ni ulevi tu wa wanaofunga kujifanya wacha Mungu kupita wengine na kujipendekeza kwa Mungu, mbona misibani hawawakamati wafiwaTukiwa tuna masiku kadhaa tokea mfungo uanze nimejaribu kukutana na changamoto kadhaa kwa baadhi ya watu wakikereka na watu wanaokula mbele yao huku wakiwa hawajafunga.
My take
Sijaona andiko linaloashiria kuonesha kwamba ni vibaya kula mbele ya mtu aliyefunga.
Dhambi ipo kwa mtu ambaye anatakiwa afunge na hajafunga na wala hana sababu ya msingi.
dhambi hiyo itakuwa ni kwa sababu hajafunga na wala sio dhambi kwa sababu ya kula mbele ya mtu aliyefunga.
Na wala sijaona andiko linalomlazimisha mfungaji ati achukie kitendo cha mtu kula mbele yake.
Hujaona wapi sasa??Tukiwa tuna masiku kadhaa tokea mfungo uanze nimejaribu kukutana na changamoto kadhaa kwa baadhi ya watu wakikereka na watu wanaokula mbele yao huku wakiwa hawajafunga.