Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Ile ni sheria ya zenji ila ingiea twitter uone watu wanavyotukana uislamu.Ni kweli na ndio maana hata mimi sijawapangia nini wafanye,au nimewapangia wapi ?
Sasa kitendo cha wao kuingiza pombe hakituzuii sisi kusema pombe haifai katika uisilamu.
Wao acha waingize pombe ila na sisi tutaendelea kuhubiri kwamba uisilamu umekataza pombe.
Wao acha waendelee kuzuia watu mambo kadhaa katika ramadhani ila na sisi haituzuii kusema kwamba uisilamu haujakataza hayo.
Hivyo basi uhuru wa watu kujipangia mambo yao hautufanyi sisi tusibainishe uhalisia wa uisilamu
Sikiliza nikuambia kuna sheria za eneo fulani ,mbona Tanga ,Mtwara ,Lind hapa kuna migahawa kibao inapiga kazi 🤣🤣🤣.
Ingia Kule X uone uislamu unavyotukanwa.