Sijaona positive impact ya mikutano ya hadhara tunayofanya. Wananchi wapo busy kutafuta maisha

Afajiri nauza kahawa, mchana nauza matunda, usiku naenda kufanya kazi ya ulinzi yaani boli linatembea kinoma muda wa kwenda kudanganywa ili niwatengenezee watu maisha natoa wapi
Ndiyo matatizo ya kuishi kwa mama
 
ndiyo maisha....wewe deal na yako. na hao wanasiasa ndiyo maisha yao. hata usipoenda watakaodi watu wa kuwasikiliza
Huyo mwenyewe alikuwa mwana cdm lkn wizi ndiyo uliyo mfukuzisha hadi sasa anaishi maisha ya kuunga unga
 
Nguvu hazijawahi kuwa mtaji labda kwa wapumbavu, watu smart kichwani ndiyo huwa wanafanikiwa.
Strategizing and thinking properly ndiyo njia ya kufanikiwa.
Ukiona mtu anaheshimu hiyo slogan ya MTAJI WA MASIKINI NI NGUVU ZAKE basi ujue huyo ni ccm.

Maana ccm ndiyo inayopenda kuwadanganya vijana wanaomaliza vyuo na serikali ikishindwa kuwapatia ajira.
 
Huo uongo tu, unajidanganya mwenyewe
 
Nilisha kwambia kuwa wachana na habari za cdm wewe zumbukuku
 
Nchi hii inawajinga wengi huwezi kuwa mwanachadema halafu hautaki kwenda kwenye mikutano ni Hali ya mtu kutokujitambua na kutokujua haki zako ni mtu alikubali kutawaliwa na wajinga
Mkuu amini nakwambia kuwa huyo mtu siyo mwana cdm maana alishafukuzwa tangu mwaka 2016 kwa tabia za kuiba mali za chama.
 
Badala mumshukuru sana mh Lema kwa kuwafumbua macho mliyowekewa super glue na ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…