Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Utaijua cdm maana hatunaga tena nafasi ya kupokea tulio wafukuza kama wewe kibogoyoKamanda mwenzetu amekosea sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utaijua cdm maana hatunaga tena nafasi ya kupokea tulio wafukuza kama wewe kibogoyoKamanda mwenzetu amekosea sana.
Ndiyo matatizo ya kuishi kwa mamaAfajiri nauza kahawa, mchana nauza matunda, usiku naenda kufanya kazi ya ulinzi yaani boli linatembea kinoma muda wa kwenda kudanganywa ili niwatengenezee watu maisha natoa wapi
Ndiyo akili yako inavyokutumaNi jukwaa la kumtukana Rais Magufuli
Huyo mwenyewe alikuwa mwana cdm lkn wizi ndiyo uliyo mfukuzisha hadi sasa anaishi maisha ya kuunga ungandiyo maisha....wewe deal na yako. na hao wanasiasa ndiyo maisha yao. hata usipoenda watakaodi watu wa kuwasikiliza
Pipa na funiko mnapongezana kwa maujingaUmetisha mkuu wewe ni Moja Kati ya watanzania wanaojielewa
Anajiita kamanda Asiyechoka wakati tulisha mfukuza kitambo kwa kashfa ya wizi wa mali za chama.Bora umemwambia huyo kamanda uchwara.
Asante sana mkuuMikutano mingapi imefanyika? Positive Impact Is too broad! Ulitarajia impact Gani? Mikutano ya hadhara ikulipie Ada? Ikuletee chakula mezani? Wewe ni MPUMBAVU kama Wapumbavu wengine
Hauwezi kuona wewe Kamanda Uliyechoka ,ungekuwa haujachoka ungeona impact yake ,si umeona Lema akisema kitu mafisi wanatoka porini na kubweka.
Ukiona mtu anaheshimu hiyo slogan ya MTAJI WA MASIKINI NI NGUVU ZAKE basi ujue huyo ni ccm.Nguvu hazijawahi kuwa mtaji labda kwa wapumbavu, watu smart kichwani ndiyo huwa wanafanikiwa.
Strategizing and thinking properly ndiyo njia ya kufanikiwa.
Sukuma gang ni vilaza tuSukuma gang katika strategies uchwara.
Hata hiyo buku 7 hulipwi zaidi ya kupewa kashata na maji ya kandoroDont be stupid. Mimi ni kulipwa buku 7
Huo uongo tu, unajidanganya mwenyeweNimefuatilia mikutano mbalimbali tunayofanya hapa nchini sioni muitikio wowote kutoka kwa wananchi kuonyesha kuwa wanakubaliana na hii mikutano.
Watu hawana uhakika wa kula, kupeleka watoto shule na hata kupata hela ya kupoza akili. Alafu waje wawasikilize watu wanaoamini wanakula meza moja na CCM inayowaharibia maisha?
Tumebakiza propaganda uchwara Twita kwa kuedit picha ili kuonyesha nyomi la uongo.
Tukubali tulishawakwaza na kuwavunja moyo Watanzania.
Ana akili ya kijinga sana huyo dogo tangu alipofukuzwa cdmUnadhalilika san humu bora ubadili avatar yako tu!!
Nilisha kwambia kuwa wachana na habari za cdm wewe zumbukukuNimefuatilia mikutano mbalimbali tunayofanya hapa nchini sioni muitikio wowote kutoka kwa wananchi kuonyesha kuwa wanakubaliana na hii mikutano.
Watu hawana uhakika wa kula, kupeleka watoto shule na hata kupata hela ya kupoza akili. Alafu waje wawasikilize watu wanaoamini wanakula meza moja na CCM inayowaharibia maisha?
Tumebakiza propaganda uchwara Twita kwa kuedit picha ili kuonyesha nyomi la uongo.
Tukubali tulishawakwaza na kuwavunja moyo Watanzania.
Mkuu amini nakwambia kuwa huyo mtu siyo mwana cdm maana alishafukuzwa tangu mwaka 2016 kwa tabia za kuiba mali za chama.Nchi hii inawajinga wengi huwezi kuwa mwanachadema halafu hautaki kwenda kwenye mikutano ni Hali ya mtu kutokujitambua na kutokujua haki zako ni mtu alikubali kutawaliwa na wajinga
Walisha danganywa kitambo haoWewe hutoboi kwa ubize huu. Dunia ya leo wanaotoboa ni "Smartworkers" siyo "Hardworkers" Kama wewe.
Kama wewe unavyoliwa hapo burigiKudanganywa ni ujinga. Na wajinga ndio waliwao.
Ndiyo hao wanaofurahia kuitwa WANYONGE yaani wakaiitwa wanyonge wanafurahia kama mazuzu vileKwahiyo unajiona special saaana! Kumbe hamna kitu.
Badala mumshukuru sana mh Lema kwa kuwafumbua macho mliyowekewa super glue na ccmMleta mada chakula chake kikuu ni ugali. So anaogopa akifika mkutanoni badala ya kuelezwa sera za chama, atashambuliwa kwa sababu ya ulaji wake wa ugali.
Yani mwanasiasa aliejaaliwa rizki ya kununua mchele anamdhihaki mwananchi aliejaaliwa rizki ya kununua unga wa ugali.
Siku hizi sera za chama kikuu cha upinzani ni kushambulia na kuwatukana bodaboda, wala ugali, watembea kwa miguu nk.