Sijaona positive impact ya mikutano ya hadhara tunayofanya. Wananchi wapo busy kutafuta maisha

Sijaona positive impact ya mikutano ya hadhara tunayofanya. Wananchi wapo busy kutafuta maisha

Afajiri nauza kahawa, mchana nauza matunda, usiku naenda kufanya kazi ya ulinzi yaani boli linatembea kinoma muda wa kwenda kudanganywa ili niwatengenezee watu maisha natoa wapi
Ndiyo matatizo ya kuishi kwa mama
 
ndiyo maisha....wewe deal na yako. na hao wanasiasa ndiyo maisha yao. hata usipoenda watakaodi watu wa kuwasikiliza
Huyo mwenyewe alikuwa mwana cdm lkn wizi ndiyo uliyo mfukuzisha hadi sasa anaishi maisha ya kuunga unga
 
Nguvu hazijawahi kuwa mtaji labda kwa wapumbavu, watu smart kichwani ndiyo huwa wanafanikiwa.
Strategizing and thinking properly ndiyo njia ya kufanikiwa.
Ukiona mtu anaheshimu hiyo slogan ya MTAJI WA MASIKINI NI NGUVU ZAKE basi ujue huyo ni ccm.

Maana ccm ndiyo inayopenda kuwadanganya vijana wanaomaliza vyuo na serikali ikishindwa kuwapatia ajira.
 
Nimefuatilia mikutano mbalimbali tunayofanya hapa nchini sioni muitikio wowote kutoka kwa wananchi kuonyesha kuwa wanakubaliana na hii mikutano.

Watu hawana uhakika wa kula, kupeleka watoto shule na hata kupata hela ya kupoza akili. Alafu waje wawasikilize watu wanaoamini wanakula meza moja na CCM inayowaharibia maisha?

Tumebakiza propaganda uchwara Twita kwa kuedit picha ili kuonyesha nyomi la uongo.

Tukubali tulishawakwaza na kuwavunja moyo Watanzania.
Huo uongo tu, unajidanganya mwenyewe
 
Nilisha kwambia kuwa wachana na habari za cdm wewe zumbukuku
 
Nchi hii inawajinga wengi huwezi kuwa mwanachadema halafu hautaki kwenda kwenye mikutano ni Hali ya mtu kutokujitambua na kutokujua haki zako ni mtu alikubali kutawaliwa na wajinga
Mkuu amini nakwambia kuwa huyo mtu siyo mwana cdm maana alishafukuzwa tangu mwaka 2016 kwa tabia za kuiba mali za chama.
 
Mleta mada chakula chake kikuu ni ugali. So anaogopa akifika mkutanoni badala ya kuelezwa sera za chama, atashambuliwa kwa sababu ya ulaji wake wa ugali.

Yani mwanasiasa aliejaaliwa rizki ya kununua mchele anamdhihaki mwananchi aliejaaliwa rizki ya kununua unga wa ugali.

Siku hizi sera za chama kikuu cha upinzani ni kushambulia na kuwatukana bodaboda, wala ugali, watembea kwa miguu nk.
Badala mumshukuru sana mh Lema kwa kuwafumbua macho mliyowekewa super glue na ccm
 
Back
Top Bottom