MakinikiA
JF-Expert Member
- Jun 7, 2017
- 5,104
- 6,827
Kwa mtazamo wangu nilipenda Sana dunia ipate machungu Kama wananchi wa Ukraine wanavyopata machungu ,Jambo moja ambalo dunia haitambui tatizo lingekwisha kitambo Sana endapo Ukraine ingeamua kujikalia kimya kwenye majumba yao na siyo kutunisha misuli na misuli hawana wanategemea support ya watu flani anayekupa support anaweka masharti yatakayo mnufaisha yeye hivyo usitegemee apende vita kwisha kwa kitendo Cha wao nao kukosa huduma za chakula wangetoa ushawishi wa Vita kumalizika kwa sasa wasitegemee mrusi ataishiwa pumzi kwani hata akiishiwa pumzi atapata support turejee Vita ya dunia ilikoma baada ya kitu kizito kudondoshwa Kama Mambo yatakwenda hivyo tusubiri Russia kudondosha kitu kizito baada ya pumzi na support kuisha kwa Russia.