Sijapenda Rais Putin kuruhusu usafirishaji chakula kutoka bandari za Ukraine

Hapo tuseme ze comedian kaingizwa nyavuni na mabeberu wa ulaya na America 🏃
 
ulitaka Ukraine hakae kimya baada ya kuvamiwa ?
Mtu aje nyumbani kwako aseme ni kwake utaweza kumuachia?
 
Duuu we jamaa,yaani Iddi amini amevamia Tanzania halafu tujikalie kimya,Kwa mawazo yako huwezi kutetea familia yako ikivamiwa utajikalia kimya.
 
O
Duuu we jamaa,yaani Iddi amini amevamia Tanzania halafu tujikalie kimya,Kwa mawazo yako huwezi kutetea familia yako ikivamiwa utajikalia kimya.
Narudia Tena naomba mtambue maana ya kuvamiwa
 
Vita hii si sawa tu na Ile support ya SYRIA na nchi zingine anazotoa sasa anakataje pumzi
 
Putin nae anatukosea Sana ss warusi weusi,huruma zake zinatukosea sana,hiyo misos ilikuwa ni siraha yetu nyingine .najua tunajiamini ,Ila apunguze huruma !!anatukosea Sana ss warusi weusi[emoji16].

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila bado hajaruhusu ametoa sharti maandalizi ya kuandaa mazingira salama ikiwa ni pamoja na kuondosha mitego ya mabomu kwenye njia ya bahari na bandari ifanywe na jeshi lake na pia kabla ya ruhusa ya kusafirisha nafaka alizoshikilia mateka mabeberu wa ulaya na marekani wawetayari kumwondolea vikwazo uchwara 🚶
 
Kama wewe ni mtanzania basi taifa limepata mtu muog, pushover, greenhorn na mpuuzi ambae anatukuza unyonye, si ajabu ndio maana aliwahi kutokea mtu akazuia watu wasije mjini bila kuoga
 
Kama wewe ni mtanzania basi taifa limepata mtu muog, pushover, greenhorn na mpuuzi ambae anatukuza unyonye, si ajabu ndio maana aliwahi kutokea mtu akazuia watu wasije mjini bila kuoga
Right on the money
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…