MGOGOHALISI
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 3,294
- 4,920
- Thread starter
-
- #21
Hapana mkuu napenda nijue upande wa pili wanasemaje. Upande wa Chadema tumesikia tayariKiongozi,unataka waandishi wa habari waanze kutekwa tena?
Mkuuu hakuna mwenye ubavu huo chief potezea mkuuu usisikikee mkuuuWakuu salamu kwenu. Siku nyingi sijaandika ila leo nitauliza swali dogo tu.
CHADEMA wanasema hawajapeleka majina NEC lakini wabunge wameapishwa juzi. Baada ya uapisho na CHADEMA kupitia kwa katibu mkuu kuwakana wabunge wale sijasikia kituo cha redio, televisheni au gazeti zikiwahoji wahusika upande wa NEC na Bunge!!!
Hiivi kweli tuna vyombo ya habari?
cc Mshana Jr Mwanahabari Huru Pascal Mayalla na wengine nisaidieni mawazo
Wanatuzuga tu hao. Wamepanga. Ruzuku ni muhimu kwa maendeleo ya chama chetu.Wakuu salamu kwenu. Siku nyingi sijaandika ila leo nitauliza swali dogo tu.
CHADEMA wanasema hawajapeleka majina NEC lakini wabunge wameapishwa juzi. Baada ya uapisho na CHADEMA kupitia kwa katibu mkuu kuwakana wabunge wale sijasikia kituo cha redio, televisheni au gazeti zikiwahoji wahusika upande wa NEC na Bunge!!!
Hiivi kweli tuna vyombo ya habari?
cc Mshana Jr Mwanahabari Huru Pascal Mayalla na wengine nisaidieni mawazo
Mbowe ndo Katibu mkuu?Wahoji nini sasa wakati majina yamepelekwa na Mbowe mchana kweupee.
Huku kuna makanjanja hakuna waandishi wa habariWakuu salamu kwenu. Siku nyingi sijaandika ila leo nitauliza swali dogo tu.
CHADEMA wanasema hawajapeleka majina NEC lakini wabunge wameapishwa juzi. Baada ya uapisho na CHADEMA kupitia kwa katibu mkuu kuwakana wabunge wale sijasikia kituo cha redio, televisheni au gazeti zikiwahoji wahusika upande wa NEC na Bunge!!!
Hiivi kweli tuna vyombo ya habari?
cc Mshana Jr Mwanahabari Huru Pascal Mayalla na wengine nisaidieni mawazo
Kiungo unachotumia kufikiria kina walakini na si ubongoWahoji nini sasa wakati majina yamepelekwa na Mbowe mchana kweupee.
DuuuhJana watu wa Azam walimhoji Spika Ndugai - kama kawaida yake kuporomosha maneno yasiyo na staha kwamba kina Mnyika na viongozi wenzake wanawaonea gere wenzao sababu wao hawakupata Ubunge na kwamba Viti Maalum ni takwa la kikatiba kwa nini CHADEMA wanawabania wanawake? Akahitimisha kusema hao ni Wabunge wafanye vikao vyao vya majungu ila haitabadilisha kitu chochote as long as yeye ndiye Spika na ndiye aliyewaapisha basi hao ni Wabunge...haya ndiyo yalikuwa majibu ya Spika wetu wa Jamhuri ya Muunga wa Tanzania.
Wont happenWakuu salamu kwenu. Siku nyingi sijaandika ila leo nitauliza swali dogo tu.