Sijasikia Waandishi wa habari wakiwahoji upande wa NEC na Bunge kuhusu Wabunge Viti Maalum wa CHADEMA

Sijasikia Waandishi wa habari wakiwahoji upande wa NEC na Bunge kuhusu Wabunge Viti Maalum wa CHADEMA

Mnapobaini mmepote porini na Kiongozi Mkuu wa safari hajali kabisa kuangalia ramani yenu (the constitution) au compass ya kuonesha North (sheria na kanuni mbalimbali za nchi) ujue mtasota sana porini, na pengine kuliwa na wanyama au kupotea zaidi.

Watunga sheria na watoa maamuzi wetu wanatuongoza pori kubwa la dunia bila ramani mkononi. Vinywa vyao vinaapa na kuahidi mwisho salama. Sijui kwa kweli. We are indeed stranded as a nation. We'll reap what we sow!
 
Huwezi kujua lbd waandishi wamejazwa nyama mdomoni hawawezi kuuliza
 
Wakuu salamu kwenu. Siku nyingi sijaandika ila leo nitauliza swali dogo tu.

CHADEMA wanasema hawajapeleka majina NEC lakini wabunge wameapishwa juzi. Baada ya uapisho na CHADEMA kupitia kwa katibu mkuu kuwakana wabunge wale sijasikia kituo cha redio, televisheni au gazeti zikiwahoji wahusika upande wa NEC na Bunge!!!

Hiivi kweli tuna vyombo ya habari?

cc Mshana Jr Mwanahabari Huru Pascal Mayalla na wengine nisaidieni mawazo
Mkuuu hakuna mwenye ubavu huo chief potezea mkuuu usisikikee mkuuu
 
Inaonekana uzito sana kumuangushia jumba bavo Mbowe au Mnyika.
Sasa mnataka NEC waojiwe kwenye maelezo wakiteleza kidogo mpate sehemu nyingine pakuangushia jumba bovu!!
 
Wakuu salamu kwenu. Siku nyingi sijaandika ila leo nitauliza swali dogo tu.

CHADEMA wanasema hawajapeleka majina NEC lakini wabunge wameapishwa juzi. Baada ya uapisho na CHADEMA kupitia kwa katibu mkuu kuwakana wabunge wale sijasikia kituo cha redio, televisheni au gazeti zikiwahoji wahusika upande wa NEC na Bunge!!!

Hiivi kweli tuna vyombo ya habari?

cc Mshana Jr Mwanahabari Huru Pascal Mayalla na wengine nisaidieni mawazo
Wanatuzuga tu hao. Wamepanga. Ruzuku ni muhimu kwa maendeleo ya chama chetu.
 
Ifike mahala tuachane na haya makelele yanayohusu uchaguzi....hii nchi kwa Sasa hatuna mamlaka nayo sisi raia wa kawaida
 
Ni juzi tu Mzee Warioba aliongea kuhusu media zenu Bongo, hamkumwelewa?
 
Wakuu salamu kwenu. Siku nyingi sijaandika ila leo nitauliza swali dogo tu.

CHADEMA wanasema hawajapeleka majina NEC lakini wabunge wameapishwa juzi. Baada ya uapisho na CHADEMA kupitia kwa katibu mkuu kuwakana wabunge wale sijasikia kituo cha redio, televisheni au gazeti zikiwahoji wahusika upande wa NEC na Bunge!!!

Hiivi kweli tuna vyombo ya habari?

cc Mshana Jr Mwanahabari Huru Pascal Mayalla na wengine nisaidieni mawazo
Huku kuna makanjanja hakuna waandishi wa habari
 
Ninyi ni wendawazimu haswaa,yani unamgushi mtu kiaje? Kwa hiyo Halima mdee na wenzake ni vivuli siyo watu halisi?ndiyo maana mkapa aliwaita wapumbavu!!! Kama majina ni ya kugushi basi hawajaenda kuapa wenye majina???
 
Hatuna waandishi wa habari ndio maana Mkapa aliwaponda siyo kwenye siasa ti hata kwenye michezo wanaandika habari za uongouongo na uzushi
 
Jana watu wa Azam walimhoji Spika Ndugai - kama kawaida yake kuporomosha maneno yasiyo na staha kwamba kina Mnyika na viongozi wenzake wanawaonea gere wenzao sababu wao hawakupata Ubunge na kwamba Viti Maalum ni takwa la kikatiba kwa nini CHADEMA wanawabania wanawake? Akahitimisha kusema hao ni Wabunge wafanye vikao vyao vya majungu ila haitabadilisha kitu chochote as long as yeye ndiye Spika na ndiye aliyewaapisha basi hao ni Wabunge...haya ndiyo yalikuwa majibu ya Spika wetu wa Jamhuri ya Muunga wa Tanzania.
Duuuh
 
Wakuu salamu kwenu. Siku nyingi sijaandika ila leo nitauliza swali dogo tu.

CHADEMA wanasema hawajapeleka majina NEC lakini wabunge wameapishwa juzi. Baada ya uapisho na CHADEMA kupitia kwa katibu mkuu kuwakana wabunge wale sijasikia kituo cha redio, televisheni au gazeti zikiwahoji wahusika upande wa NEC na Bunge!!!

Hiivi kweli tuna vyombo ya habari?

cc Mshana Jr Mwanahabari Huru Pascal Mayalla na wengine nisaidieni mawazo
Wont happen
 
Nchi hii ina waandishi wa Habari wengi na wabobezi wakubwa katika tasnia hii ya habari ila cha kusikitisha na kushangaza hakuna hata mmoja aliyethubutu kufanya mahojiano na NEC ili kuweka sawa suala hili la kina Halima Mdee na kundi lake.

Sisi walaji wa habari tumeingiwa na masikitiko makubwa sana na kujiuliza kwanini waandishi wa habari wanaiogopa NEC kiasi hiki!

Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC) ndiyo inayo majibu ya kutosha juu ya sakata hili la wabunge wa viti maalum 19 wa Chadema walioapa. Ila cha kushangaza hakuna mwandishi wa habari hata mmoja anayethubutu kuivaa NEC ili kutatua suala hili. Wote wamekuwa waoga.

Waandishi wa habari mnamuogopa nani pale NEC?

Hamuoni kama hamtutendei haki sisi walaji wa habari zenu?

Ni masikitiko makubwa sana.
 
Au sijakuelewa, hebu rudia, unasema kwamba waandishi?
 
Hahaha COVID-19 ni hatari hakuna muandishi anataka kujihusisha nao wala habari zao.
 
Back
Top Bottom