Sijasikia Waandishi wa habari wakiwahoji upande wa NEC na Bunge kuhusu Wabunge Viti Maalum wa CHADEMA

Usitupangie chakufanya, anzisha media yako uwaelekeze waandishi wako chakufanya kama DJ mbowe anavyofanya
 
Hao waandishi sio bure watakuwa wanatokea TZ daima ni waoga sana kuwaface NEC
 
Wahoji nini sasa wakati majina yamepelekwa na Mbowe mchana kweupee.
Kama kuna mwanachadema hajui hili mpaka sasa basi inabidi tuhoji uwezo wake wa kufikiri kama uko sawa.
Chadema sasa hivi kuna mnyukano mkali kati ya timu mbowe na timu lissu. Ngoja tuone nani ataibuka kidedea.
 
Wanamuachia Mr Hole ahoji na ujuaji wake!
 
Sidhani kama majibu ya NEC yatakuwa tofauti na ya spika.
 
Maswali gani haya mkuu.. We unataka kuvunja AMANI. [emoji23][emoji23]
 
Ninyi ni wendawazimu haswaa,yani unamgushi mtu kiaje? Kwa hiyo Halima mdee na wenzake ni vivuli siyo watu halisi?ndiyo maana mkapa aliwaita wapumbavu!!! Kama majina ni ya kugushi basi hawajaenda kuapa wenye majina???
Tanzania bado sana, kama bado kuna watu wanafikiri kama wewe basi kazi ipo, hivi umeelewa kinachojadiliwa hapa?
 
Wakihoji wanapigwa faini mzee
 
Dikteta amefanikiwa kwa hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…