Sijasikia Waandishi wa habari wakiwahoji upande wa NEC na Bunge kuhusu Wabunge Viti Maalum wa CHADEMA

Sijasikia Waandishi wa habari wakiwahoji upande wa NEC na Bunge kuhusu Wabunge Viti Maalum wa CHADEMA

Usitupangie chakufanya, anzisha media yako uwaelekeze waandishi wako chakufanya kama DJ mbowe anavyofanya
 
Hao waandishi sio bure watakuwa wanatokea TZ daima ni waoga sana kuwaface NEC
 
Wahoji nini sasa wakati majina yamepelekwa na Mbowe mchana kweupee.
Kama kuna mwanachadema hajui hili mpaka sasa basi inabidi tuhoji uwezo wake wa kufikiri kama uko sawa.
Chadema sasa hivi kuna mnyukano mkali kati ya timu mbowe na timu lissu. Ngoja tuone nani ataibuka kidedea.
 
Wakuu salamu kwenu. Siku nyingi sijaandika ila leo nitauliza swali dogo tu.

CHADEMA wanasema hawajapeleka majina NEC lakini wabunge wameapishwa juzi. Baada ya uapisho na CHADEMA kupitia kwa Katibu Mkuu kuwakana wabunge wale sijasikia kituo cha redio, televisheni au gazeti zikiwahoji wahusika upande wa NEC na Bunge.

Hivi kweli tuna vyombo ya habari?

cc Mshana Jr Mwanahabari Huru Pascal Mayalla na wengine nisaidieni mawazo
Wanamuachia Mr Hole ahoji na ujuaji wake!
 
Nchi hii ina waandishi wa Habari wengi na wabobezi wakubwa katika tasnia hii ya habari ila cha kusikitisha na kushangaza hakuna hata mmoja aliyethubutu kufanya mahojiano na NEC ili kuweka sawa suala hili la kina Halima Mdee na kundi lake.

Sisi walaji wa habari tumeingiwa na masikitiko makubwa sana na kujiuliza kwanini waandishi wa habari wanaiogopa NEC kiasi hiki!

Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC) ndiyo inayo majibu ya kutosha juu ya sakata hili la wabunge wa viti maalum 19 wa Chadema walioapa. Ila cha kushangaza hakuna mwandishi wa habari hata mmoja anayethubutu kuivaa NEC ili kutatua suala hili. Wote wamekuwa waoga.

Waandishi wa habari mnamuogopa nani pale NEC?

Hamuoni kama hamtutendei haki sisi walaji wa habari zenu?

Ni masikitiko makubwa sana.
Sidhani kama majibu ya NEC yatakuwa tofauti na ya spika.
 
Wakuu salamu kwenu. Siku nyingi sijaandika ila leo nitauliza swali dogo tu.

CHADEMA wanasema hawajapeleka majina NEC lakini wabunge wameapishwa juzi. Baada ya uapisho na CHADEMA kupitia kwa Katibu Mkuu kuwakana wabunge wale sijasikia kituo cha redio, televisheni au gazeti zikiwahoji wahusika upande wa NEC na Bunge.

Hivi kweli tuna vyombo ya habari?

cc Mshana Jr Mwanahabari Huru Pascal Mayalla na wengine nisaidieni mawazo
Maswali gani haya mkuu.. We unataka kuvunja AMANI. [emoji23][emoji23]
 
Ninyi ni wendawazimu haswaa,yani unamgushi mtu kiaje? Kwa hiyo Halima mdee na wenzake ni vivuli siyo watu halisi?ndiyo maana mkapa aliwaita wapumbavu!!! Kama majina ni ya kugushi basi hawajaenda kuapa wenye majina???
Tanzania bado sana, kama bado kuna watu wanafikiri kama wewe basi kazi ipo, hivi umeelewa kinachojadiliwa hapa?
 
Wakuu salamu kwenu. Siku nyingi sijaandika ila leo nitauliza swali dogo tu.

CHADEMA wanasema hawajapeleka majina NEC lakini wabunge wameapishwa juzi. Baada ya uapisho na CHADEMA kupitia kwa Katibu Mkuu kuwakana wabunge wale sijasikia kituo cha redio, televisheni au gazeti zikiwahoji wahusika upande wa NEC na Bunge.

Hivi kweli tuna vyombo ya habari?

cc Mshana Jr Mwanahabari Huru Pascal Mayalla na wengine nisaidieni mawazo
Wakihoji wanapigwa faini mzee
 
Huo ndio uhuru wa habari, ambao siku alipohutubia Bunge, Jiwe alijisifu kuwa ameuimarisha na (hasa) wasomi wa CCM wakashangilia sana kila mmoja akijitahidi Jiwe amwone ana 'FURAHA'.
China wakati wa Mao Dze Dung, 'habari' ilikuwa ni kumsifu Mwenyekiti Mao tu. Nadhani ndo tumeshafika sasa.
Dikteta amefanikiwa kwa hilo
 
Back
Top Bottom