Sijavutiwa na Toyota Harrier a.k.a Tako la Nyani

Huyu wa premio alikua amemtangulia mwenzake hii barabara ya moro-dar jioni ilikua kidogo watupane kwenye mitaro. Sijui hua wanapata flavor gani kuwekeana ligi barabarani vijana
Kuwekeana ligi barabarani ni raha asikwambie mtu...mimi hii ndo michezo yangu na kwa barabara angalau inayosuuza roho yangu ni daraja la nyerere Kiga mpaka huku TPA ( watu wa hizo barabara wanapenda kushindanisha mbio sijapata kuona[emoji848]
 
Aisee sijui labda wadau watujulishe ila atakayekimaliza hicho kisahani ni mwamba... kufika nusu yake tu ni changamoto kubwa sana
Kwa Bugati Veyron yenyewe ikitembea kwny top speed yake non stop then Tyre zake zitaisha ndani ya dakika 15 na tank lake la Mafuta litaisha ndani ya dakika 12 tu.
 
Yeah ajali nje nje maana hawatumii tena akili ni mihemko tu
Kuna kajamaa juzi kalikuwa na Subaru sijui kafunga na mabomba mengi mengi huko nyuma uwii tulilianzisha kuanzia round about ya kuingia TPA eti kisa nilimpita huko waterfront....mseng€e anaendesha gari kama kalogwa vile ...yaan alinipita kama upepo pale TPA jumapili hiyo hakuna foleni, si nikamkimbiza[emoji2][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sikumpata!

Tukalipia kivuko, huku ananichungulia dirishani, nikamkimbiza tena, jamani alitoka nduki mjinga yule sikumuona tena hadi nafika round about ya kibada sikuona hata kakatishia wapi[emoji38][emoji38][emoji1787][emoji2]

Nilicheka sana aseee
 
Uko sahihi
 
Uikua na chuma gan?
 
Hili dubwana lote la nini?

Amarok tu inacharaza watu viboko hawaamini wanachokiona.
 
Kwani gearbox iliyopo humu ni ya mzungu?

Ipo hivi,

Asilimia kubwa gari iliyotengenezwa kwa ajili ya Eu market hata kama ni toyota huwa ina standards tofauti na gari iliyotengenezwa kwa ajili ya JDM.

Nunua nunua baadhi ya matoleo ya Rav 4 ya EU market, ikikuharibikia gearbox unaweza kuipark. Gearbox yake unakuta inafunga kwenye gari kama Solara, Sienna, Avalon, Avensis, Camry, n.k. Ni gari ambazo nyingi huwezi kuzikuta huku kwetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…