wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
Huu ni uongo.Siku kuiendesha Mjerumani hutotamani kuendesha mjapan wowote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu ni uongo.Siku kuiendesha Mjerumani hutotamani kuendesha mjapan wowote
Hunizidi mimiNami gari ya chini huwa sina mzuka nayo
Na long distance wana fly, right?Wanatumia kwa short distance
Kuwekeana ligi barabarani ni raha asikwambie mtu...mimi hii ndo michezo yangu na kwa barabara angalau inayosuuza roho yangu ni daraja la nyerere Kiga mpaka huku TPA ( watu wa hizo barabara wanapenda kushindanisha mbio sijapata kuona[emoji848]Huyu wa premio alikua amemtangulia mwenzake hii barabara ya moro-dar jioni ilikua kidogo watupane kwenye mitaro. Sijui hua wanapata flavor gani kuwekeana ligi barabarani vijana
Kwa Bugati Veyron yenyewe ikitembea kwny top speed yake non stop then Tyre zake zitaisha ndani ya dakika 15 na tank lake la Mafuta litaisha ndani ya dakika 12 tu.Aisee sijui labda wadau watujulishe ila atakayekimaliza hicho kisahani ni mwamba... kufika nusu yake tu ni changamoto kubwa sana
Kuna kajamaa juzi kalikuwa na Subaru sijui kafunga na mabomba mengi mengi huko nyuma uwii tulilianzisha kuanzia round about ya kuingia TPA eti kisa nilimpita huko waterfront....mseng€e anaendesha gari kama kalogwa vile ...yaan alinipita kama upepo pale TPA jumapili hiyo hakuna foleni, si nikamkimbiza[emoji2][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sikumpata!Yeah ajali nje nje maana hawatumii tena akili ni mihemko tu
HahahahaPisi kali huwa zinaamini SUV zina kila kitu hadi mbio mpaka pale mwamba ninapoinyosha Prado 150 au V8 bwege ndio heshima inarudi
Hehehe V8 engine mtu anasema ni gari[emoji1787][emoji1787][emoji38][emoji1787]V8 ni aina ya injini ambapo zipo gari kibao zenye injini hizo sasa kua specific ni gari zipi ila injini tushajua na zipo hadi v12 kwahyo hyo v8 yako ikasome
500?[emoji15][emoji15]
Uko sahihiKwa wingi wa haya magari barabarani, jinsi watu wengi wanavyoyazungumzia na wengine wakiyataja Kama magari ya ndoto zao, nilikuwa Napata sana Shauku ya kuyaendesha, Ama kuyatumia Na ku feel ile Taste iliyomo ndani yake.
Juzi kuna Jamaa akaniletea Moja akiwa anaiuza.
Katika kuendesha hii gari nimegundua, yafuatayo:
1. gari ni nyepesi sana unapofika speed kuanzia 120, inahitaji uwe makini sana kuicontrol ..
2. Gari iko juu na inakosa balance kiasi kwamba kwenye kona kali ni msala mtupu kama ukiingia kichwa kichwa..
3. Haikupi comfortability nzuri ukilinganisha hata na Brevis...Yaani ukiwa kwenye Brevenga au Crown unasikia raha zaidi ya Harrier.
4. Ina fuel consumption kubwa tofauti na perfomance yake. (Yaani haina nguvu wala ubora mkubwa kulinganisha na utumiaji wake wa mafuta)
5. Bei Yake nadhani ilipanda kutokana na demand ya watu sababu ya kuigana ila ni gari ya kawaida sana....i would rather go for a cheaper Subaru forester XT than Harrier.
N:B matamanio yangu kwenye Hii gari yameisha Rasmi na sijaandika uzi huu kuziponda, ila tu nilikuwa na over Expectations. ASALAM ALLEIKUM.
Not necessary, I mean short distance for saloon cars, sasa SUV ni kwa long distance eg safari za late Magu uliona akitumia gari za chiniNa long distance wana fly, right?
Uikua na chuma gan?Kuna kajamaa juzi kalikuwa na Subaru sijui kafunga na mabomba mengi mengi huko nyuma uwii tulilianzisha kuanzia round about ya kuingia TPA eti kisa nilimpita huko waterfront....mseng€e anaendesha gari kama kalogwa vile ...yaan alinipita kama upepo pale TPA jumapili hiyo hakuna foleni, si nikamkimbiza[emoji2][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sikumpata!
Tukalipia kivuko, huku ananichungulia dirishani, nikamkimbiza tena, jamani alitoka nduki mjinga yule sikumuona tena hadi nafika round about ya kibada sikuona hata kakatishia wapi[emoji38][emoji38][emoji1787][emoji2]
Nilicheka sana aseee
Tatizo siyo alignment, tatizo ni gari yenyewe haipo stable ukiwa high speedHata ikifanyiwa alignment bado haitulii barabarani?
Nilikuwa naongelea executives na diplomats wa nchi za daraja la kwanza na pili.Not necessary, I mean short distance for saloon cars, sasa SUV ni kwa long distance eg safari za late Magu uliona akitumia gari za chini
Subaru ni sports car toyota ni semi luxury na luxury car. Kwahiyo hata seating position zake zipo kisport.Kitu cha kwanza sijaipenda Subaru ni hicho. Ndani mzuri ila kukaa kwenye kiti kama umekalia skate board ndio inaudhi
Wajuzi wanasema ni nyepesi sanaTatizo siyo alignment, tatizo ni gari yenyewe haipo stable ukiwa high speed
Wahusika hawajaweka limit, kwa hiyo inabakia kuwa personal preference.Mbio za nini hapa bongo nyoso...barabara zenyewe ziko wapi za speed[emoji848]
Hili dubwana lote la nini?![]()
Mkuu bila shaka hio ni chiron, hio utawanyanyasa autobhan lakini kwa Tanzania ukitaka watu wakuonee mwezini chukua mnyama RAM Hennessy Mammoth 1000, chuma ina HP 1000, halafu lilivyo juu sasa utakubali, hili bumps linafukia tu.
Ni bonge moja ya chuma imekwenda hewani lakini ligi zake Lamborghini ikiwa ya kizembe haina nafasi hapo.
![]()
Chuma lina vurugu sana.... Yani hili kupanda bumps na 140 ni kawaida...
![]()
![]()
Kuna hao jamaa wanaitwa heneessy wanazi mod hizi gari, balaa tupu.
Kwani gearbox iliyopo humu ni ya mzungu?