Sijavutiwa na Toyota Harrier a.k.a Tako la Nyani

Gari ya 2012 ushuru wake ukoje mkuu?

Sijawahi kuiona bongo hii

Naona ina jiko dogo tu 1.6L

Nazani mrithi bora wa premio kwa vijana[emoji91]
zipo bongo hizi, zina balance kwa mala y kwanza niliendesha collora kama hiyo zipo mwake sana
 
Kuna Grand Cherokeee SRT nimeshakutana nayo sana mikocheni. Huyu anamchapa LC300 vizuri tu.
kuna GLE AMG , kuna G-Wagon, kuna Range Rover Sport Svr, kuna Range vellar edition, kuna GLS650 maybach kadha wa kadha hapo bongo zinaikalisha hiyo Lc300 mchana kweupeee.... c.c 100 others
 
American cars are jokes to European car [emoji1787][emoji1787][emoji1787]magari ya USA ni Mjapani aliyechangamka
 
Tulinganishe na Mjerumani 2013?
Ruksa japo umesema hamna lexus ya kuendana na mjerumani kwa ubora. Kwa comfort tu Lexus GS inaenda on par with BMW 5 series. Chukua hio 2013 model halafu angalia utakuja nishukuru. Na wabongo wengi wana 520i sababu wanaogopaga engine kubwa. Ukiweka gs 350 na huyo 520i anakalishwa vizuri tu.
 
why upambanishe Lesux GS 350 na BMW 520i, wakati ipo ya size yake ambayo ni BMW 535i? Fanya mlinganisho wa GS 350 na 535i zote mwaka 2013.. ndio mtuletee majibu hapa.. maana ndio gari zinaendana spec
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…