wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
AiseeeBiem X6
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AiseeeBiem X6
Hii iliyotoka juzi?Amarok second gen kuna toleo lina 300HP halafu gearbox ni gear 10.
Kwa Aerodynamic structure yake na uzito wake mdogo kuliko LC300 anaweza kushinda kwa small margin
hata wenye mambo yetu huwa tunapata shida na hizo gari😄😄😄 Kumbe na wewe umeshajionea ukuda wa Ile seating position.
zipo bongo hizi, zina balance kwa mala y kwanza niliendesha collora kama hiyo zipo mwake sanaGari ya 2012 ushuru wake ukoje mkuu?
Sijawahi kuiona bongo hii
Naona ina jiko dogo tu 1.6L
Nazani mrithi bora wa premio kwa vijana[emoji91]
😄😄 Mixer kitu Cha utelezi.hata wenye mambo yetu huwa tunapata shida na hizo gari
kuna GLE AMG , kuna G-Wagon, kuna Range Rover Sport Svr, kuna Range vellar edition, kuna GLS650 maybach kadha wa kadha hapo bongo zinaikalisha hiyo Lc300 mchana kweupeee.... c.c 100 othersKuna Grand Cherokeee SRT nimeshakutana nayo sana mikocheni. Huyu anamchapa LC300 vizuri tu.
Bugati haiwezi tumika kama ghetto, so haina mzuka kwangu.. bora alphardKwa Bugati Veyron yenyewe ikitembea kwny top speed yake non stop then Tyre zake zitaisha ndani ya dakika 15 na tank lake la Mafuta litaisha ndani ya dakika 12 tu.
tena unakuta X6 m competition 😁😁😁 mtoto mzuri wa kike huyo.. kasheshe mie na wewe lazima jasho limwagike hasaaa na tuna angukia Royal saloonAiseee
Ni ushamba tuuHuyu wa premio alikua amemtangulia mwenzake hii barabara ya moro-dar jioni ilikua kidogo watupane kwenye mitaro. Sijui hua wanapata flavor gani kuwekeana ligi barabarani vijana
Tulinganishe na Mjerumani 2013?Uongo uliotukuka! Tafta Lexus hata GS tu ya 2013, kisha rudi usome hiki ulichoandika.
American cars are jokes to European car [emoji1787][emoji1787][emoji1787]magari ya USA ni Mjapani aliyechangamka![]()
Mkuu bila shaka hio ni chiron, hio utawanyanyasa autobhan lakini kwa Tanzania ukitaka watu wakuonee mwezini chukua mnyama RAM Hennessy Mammoth 1000, chuma ina HP 1000, halafu lilivyo juu sasa utakubali, hili bumps linafukia tu.
Ni bonge moja ya chuma imekwenda hewani lakini ligi zake Lamborghini ikiwa ya kizembe haina nafasi hapo.
![]()
Chuma lina vurugu sana.... Yani hili kupanda bumps na 140 ni kawaida...
![]()
![]()
Kuna hao jamaa wanaitwa heneessy wanazi mod hizi gari, balaa tupu.
Ok asante kwa darasa, Mitsubishi Outlander Phev.BMW X3 siyo sedan. Ni SUV crossover. Wewe ulikuwa na SUV brand gani alipokuchapa raba?
Nakazia hapaMi huo usare sare maua mjini ndo nimetokea kuyachukia[emoji57]
Ruksa japo umesema hamna lexus ya kuendana na mjerumani kwa ubora. Kwa comfort tu Lexus GS inaenda on par with BMW 5 series. Chukua hio 2013 model halafu angalia utakuja nishukuru. Na wabongo wengi wana 520i sababu wanaogopaga engine kubwa. Ukiweka gs 350 na huyo 520i anakalishwa vizuri tu.Tulinganishe na Mjerumani 2013?
Au kile kidubwasha cha blue kinachoenda 320kphkuna GLE AMG , kuna G-Wagon, kuna Range Rover Sport Svr, kuna Range vellar edition, kuna GLS650 maybach kadha wa kadha hapo bongo zinaikalisha hiyo Lc300 mchana kweupeee.... c.c 100 others
Kile kita waumiza sana,Au kile kidubwasha cha blue kinachoenda 320kph
why upambanishe Lesux GS 350 na BMW 520i, wakati ipo ya size yake ambayo ni BMW 535i? Fanya mlinganisho wa GS 350 na 535i zote mwaka 2013.. ndio mtuletee majibu hapa.. maana ndio gari zinaendana specRuksa japo umesema hamna lexus ya kuendana na mjerumani kwa ubora. Kwa comfort tu Lexus GS inaenda on par with BMW 5 series. Chukua hio 2013 model halafu angalia utakuja nishukuru. Na wabongo wengi wana 520i sababu wanaogopaga engine kubwa. Ukiweka gs 350 na huyo 520i anakalishwa vizuri tu.