Sijavutiwa na Toyota Harrier a.k.a Tako la Nyani

Sasa huo mstari wa mwisho kama umeiua.
 
Sasa huo mstari wa mwisho kama umeiua.
Hapana ndugu yangu, hii ni kutake care tu.
Safari ndefu unatakiwa kuweka na kamzigo at least 100kg kwenye eneo la mzigo, na gari inakamata chini.
Raha ya Forester ni valves zake zote zikifunguka after 120km/hr, cha ajabu katika spidi hiyo unaweza accelerate tena mpaka 160km/hr kiurahisi sana.
 
Round about max ni 30kph yeye alitembea na above hio bila shaka
For a second nilijua nashuhudia ajali. Asingezungusha usukani upande sahihi alikuwa anaibwaga.

Yote hiyo kisa ligi na viteksi vya chini. Nilimkata huko nyuma, nadhani hakupenda akaja akanikata vibaya na kuniachia vumbi kubwa kwenye kipande kibaya cha kama kilomita mbili kilichokuwa kinatengenezwa. Nilisimama mpaka vumbi aliloacha liishe.

Lami ilipoanza tena nikamfukuzia, kufika round about ndo akapata matokeo yake, akapaki kushoto apooze moyo.
 
Hio situation ni ngumu kwa nchi za kiafirika, ni ama kiumane uso kwa uso au umeze kicheche 🤣🤣🤣!

Hizo moose test tuwaachie wazungu wao ndio wana hela za kuchezea hio michezo.
Pole sana, tushaepuka hizo situation ndio maana tunamkubsli mzungu. Maneno yako kama mtu ambae hajakaa sana barabarani. Hio ni disadvantage ya suv na 4*4 karibu zote si Toyota tu kwahio usihangaike sana kuitetea hio weakness.
 
Hizi teksi zina raha yake.
 
SH Ni moja Kati ya Gari yenye seating position mbaya kabisa,yaani ukikaa Ni unadumbukia Kama uko kwny saloon vile.
 
Cheki pemneni mwa kiti chako.
Unaweza rekebisha seating position kulingana na mwili wako.
SH5 ndiyi Subaru yenye nafasi kubwa kwa dereva na abiria kuliko SF na SG.
Yaani nilishafanya setting zote lkn bado Ina seating position mbaya kabisa,na hii sio kwangu tu nimeshajaribu kuuliza wengine nao majibu Ni hayo hayo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…