Seating ya kigoda kabisa. Kuna jamaa yangu ameiongeza urefu kwa kuiwekea 2inch lift. Walau inaonekana SUV sasa kafunga na 18 inch offset Gari imevimba vimba hiviSH Ni moja Kati ya Gari yenye seating position mbaya kabisa,yaani ukikaa Ni unadumbukia Kama uko kwny saloon vile.
🙄🙄Kuna jamaa anasema Kuna V8 bwege aka kubwa jinga
Cc Wigelekelo
Kwa wingi wa haya magari barabarani, jinsi watu wengi wanavyoyazungumzia na wengine wakiyataja Kama magari ya ndoto zao, nilikuwa Napata sana Shauku ya kuyaendesha, Ama kuyatumia Na ku feel ile Taste iliyomo ndani yake.
Juzi kuna Jamaa akaniletea Moja akiwa anaiuza.
Katika kuendesha hii gari nimegundua, yafuatayo:
1. gari ni nyepesi sana unapofika speed kuanzia 120, inahitaji uwe makini sana kuicontrol ..
2. Gari iko juu na inakosa balance kiasi kwamba kwenye kona kali ni msala mtupu kama ukiingia kichwa kichwa..
3. Haikupi comfortability nzuri ukilinganisha hata na Brevis...Yaani ukiwa kwenye Brevenga au Crown unasikia raha zaidi ya Harrier.
4. Ina fuel consumption kubwa tofauti na perfomance yake. (Yaani haina nguvu wala ubora mkubwa kulinganisha na utumiaji wake wa mafuta)
5. Bei Yake nadhani ilipanda kutokana na demand ya watu sababu ya kuigana ila ni gari ya kawaida sana....i would rather go for a cheaper Subaru forester XT than Harrier.
N:B matamanio yangu kwenye Hii gari yameisha Rasmi na sijaandika uzi huu kuziponda, ila tu nilikuwa na over Expectations. ASALAM ALLEIKUM.
😄😄😄 Kumbe na wewe umeshajionea ukuda wa Ile seating position.Seating ya kigoda kabisa. Kuna jamaa yangu ameiongeza urefu kwa kuiwekea 2inch lift. Walau inaonekana SUV sasa kafunga na 18 inch offset Gari imevimba vimba hivi
😄😄😄 Kumbe na wewe umeshajionea ukuda wa Ile seating position.
Point number 4 naomba nikuweke sawa.Kijana umezoea baby walker hizi hutaziweza. Majibu ya mwaswali yako matano haya hapa.
1. Gari ni nyepesi (sio kwa uzito) ni nyepesi inachomoka sana. Hilo librevis lako linachukua muda kuchanganya.
2. Gari iko juu sio kwamba haina balance umezoea vigari vya chini kwa hiyo hii unajiona kama uko juu ya mti[emoji38][emoji38]. Hata ukiendesha Range Rover utalalamika hivihivi. Hakuna kesi nyingi za Harrier kupinduka.
3. Comfortability ya gari kubwa huwezi kulinganisha na hiyo brevis yako. Watu wana akili zaidi yako ndio maana Harrier inauzwa Mil 38 na Brevia Mil 15. Hiyo tofauti kubwa ya bei ni pamoja na comfort utakayoipata kwenye Harrier.
4. Kwa hiyo unataka kulinganisha spidi ya mnyama harrier na hako ka brevis kako..[emoji38][emoji38][emoji38]
5. Niliwahi kuwa na Harrier na sasa nina hiyo XT. Harrier ni noma aisee. Ukiona gari imenunuliwa sana we nunua tu, kuna watu walishafanya analysis na kuipitisha.
Kwahio hata point yake namba 1 haina maana.Point number 4 naomba nikuweke sawa.
Harrier engine 2AZ-FSE inazalisha 160HP
Brevis Ai250 1JZ-FSE inazalisha 197HP
Hapo numbers dont lie, Brevis itaichapa harrier katika namna yeyote ile when it comes to power.
Haina maana piaKwahio hata point yake namba 1 haina maana.
Mkuu nakuunga mkono. Ila ungejaribu na zile harrier hybrid ndo ulete hii mada.Kwa wingi wa haya magari barabarani, jinsi watu wengi wanavyoyazungumzia na wengine wakiyataja Kama magari ya ndoto zao, nilikuwa Napata sana Shauku ya kuyaendesha, Ama kuyatumia Na ku feel ile Taste iliyomo ndani yake.
Juzi kuna Jamaa akaniletea Moja akiwa anaiuza.
Katika kuendesha hii gari nimegundua, yafuatayo:
1. gari ni nyepesi sana unapofika speed kuanzia 120, inahitaji uwe makini sana kuicontrol ..
2. Gari iko juu na inakosa balance kiasi kwamba kwenye kona kali ni msala mtupu kama ukiingia kichwa kichwa..
3. Haikupi comfortability nzuri ukilinganisha hata na Brevis...Yaani ukiwa kwenye Brevenga au Crown unasikia raha zaidi ya Harrier.
4. Ina fuel consumption kubwa tofauti na perfomance yake. (Yaani haina nguvu wala ubora mkubwa kulinganisha na utumiaji wake wa mafuta)
5. Bei Yake nadhani ilipanda kutokana na demand ya watu sababu ya kuigana ila ni gari ya kawaida sana....i would rather go for a cheaper Subaru forester XT than Harrier.
N:B matamanio yangu kwenye Hii gari yameisha Rasmi na sijaandika uzi huu kuziponda, ila tu nilikuwa na over Expectations. ASALAM ALLEIKUM.
Ukiwa unabeba vimizigo tu kila siku utaingia garageTatizo la ilo gari shida ni miguu linasumbua .sijui sababu ya barabara zetu
Asante sana nimeona utofauti gari nyepesi kwenye kukata kona sio ya kuamini yaweza binuka anytime. Na watu wanavyoipenda sasa sijuhi kama wanafahamu hili au ubishi tu ila wanajua?Hiyo gari ni nyepesi sana. Kwenye hii video kuna toureg. Ukiipigisha harrier test kama hiyo itakula mzinga huo haujawahi kutokea.
Je nissan patrol safari nazo ni nyepesiGari karibia zote za Japan ni nyepesi kwenye high speed.
Point number 4 naomba nikuweke sawa.
Harrier engine 2AZ-FSE inazalisha 160HP
Brevis Ai250 1JZ-FSE inazalisha 197HP
Hapo numbers dont lie, Brevis itaichapa harrier katika namna yeyote ile when it comes to power.
Mfano mdogo tu wa gari yenye legroom kubwa ni Toyota Camry...Labda corolla na wenzie. Zipo gari za chini nyingi tu zina legroom ya kutosha. Kama alivyosema mdau hapo zingekuwa mateso diplomats na vips duniani wasingetumia.
Wazee wa forester kwanini barabarani nyinyi ni mbio tu?Hapana ndugu yangu, hii ni kutake care tu.
Safari ndefu unatakiwa kuweka na kamzigo at least 100kg kwenye eneo la mzigo, na gari inakamata chini.
Raha ya Forester ni valves zake zote zikifunguka after 120km/hr, cha ajabu katika spidi hiyo unaweza accelerate tena mpaka 160km/hr kiurahisi sana.
Hatuendi field tunamalizana humu humuNa mimi naongezea...
Harrier ina gearbox ya U141e na ina gear 4 tu.
Brevis ina Gearbox ya A650e na ina gear 5.
Hii ligi inaishia tu kwenye makaratasi kabla hata ya kuingia barabarani.
Sasa braza mpaka uanze kugara gara na gari kiasi hicho ni nini hasa unakuwa unatafuta?
Ndio yale mambo ya kumkwepa mtu unakula mzinga.Hio situation huwa inatokea, mtu kavuka ghafla au gari imehama ghafla.
Sasa kuliko kiumane si ni bora ukamanouver kama hivo safari ikaendelea?Hio situation ni ngumu kwa nchi za kiafirika, ni ama kiumane uso kwa uso au umeze kicheche 🤣🤣🤣!
Hizo moose test tuwaachie wazungu wao ndio wana hela za kuchezea hio michezo.
Niliishuhudia hii mwigumbi nilikuwa nyuma ya LC70 kwenye roundabout tairi mbili za upande mmoja zilinyanyuka kabisa zikaiacha lami, ila ali recover.
Mbele alipaki pembeni. Na hakuwa kibati.