Sijavutiwa na Toyota Harrier a.k.a Tako la Nyani

Siku za usoni zitalipa sana dogo.
Au ukiuza ubadili tu na kitu ya maana sio gari
Eneo moja pale karibu na shule ya vipofu njia panda Chamwino huko ndio nitaweka frem au apartment kadhaa hivi ila kwingine napiga mnada nisijeporwa na wahuni wa kijani aisee maana tayari moja liliponea chupu chupu isingekuwa mzee wa kazi chafu ningekoma
 
Wewe uza tu hata ukitumia kuoa mtoto mweupe wa kinyaturuu ni wewe tu baba🀣
 
Suv ina advantage gani zaidi ya ground clearance? Hizi suv za mchongo harrier,rav4 msiziweke kwenye proper suv akina lc. Hizi kwenye barabarani korofi kidogo tu hazitoboi kama sedan tu.
Advantage nyngne ya suv n kwamba wakat unaingia kwny gari Unainua mguu juu yaan unainuka hv juu. Lakn hz sedan akina crown athlete na wenzake ukiwa unaingia kwny gari, unainamisha mgongo na shngo kama vile nyoka anatafuta pango lake[emoji3]
 
Rav 4 ana edition/models nyng sana mpaka nyngne huwez jua hii gar n rav 4 mpaka uisome pale nyuma.
 
Hii ni gari nzuri ila inabidi uwe na hela. Pia jitahidi ununue yenye low mileage na miaka ya karibuni. Sio unanunua ya 2009 100,000miles utatukana magari ya watu.
Huyu dogo wa moto sana hata ya 2006 atabeba tu🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…