Vitalis Msungwite
JF-Expert Member
- May 11, 2014
- 3,292
- 7,867
Unachanganya mabwana au tabia mbaya ipi isiyosemekana.Kasema hatuendani nina tabia mbaya[emoji16][emoji16][emoji24]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unachanganya mabwana au tabia mbaya ipi isiyosemekana.Kasema hatuendani nina tabia mbaya[emoji16][emoji16][emoji24]
Na ukijipima, yuko sahihi kwa hitimisho lake hili hasa ukizingatia kwamba tabia zetu mbaya tunaweza zisiwe dhahiri kwetu?Kasema hatuendani nina tabia mbaya😁😁😭
Ameziainisha hizo tabia zako mbaya?Kasema hatuendani nina tabia mbaya[emoji16][emoji16][emoji24]
Hongera sana mkuu.Mwanamke
Mwanamke wa Mithali 31 siyo mwanamke mmoja. Hilo linaeleweka kwa wanazuoni wengi wa Theolojia maana katika uhalisia wake hakuna mwanamke ambaye anaweza kuwa na sifa zote zile labda awe roboti la Elon Musk.
Walimu wengi wanaofundisha mambo ya ndoa huitumia Mithali 31 kama picha tu ya sifa za jumla ambazo mke mwema anapaswa kuwa nazo. Kila muoaji ana vigezo vyake au sifa anazozitafuta na akizipata kwa kiwango cha asilimia angalau 60+ basi inatosha.
Tukumbuke tu kuwa hakuna aliye mkamilifu. Hata Mama E wangu siyo mkamilifu na ana mapungufu mengi sana lakini kwa vile ana sifa chache za msingi nilizokuwa nazitafuta kwa mwanamke basi inatosha. Mengine tunavumiliana, kurekebishana na kuchukuliana kama wanadamu; maana hata mimi siyo mkamilifu kwake.
Na pole kwa maneno ya kuumiza uliyoambiwa na huyo boya aliyekuumiza lakini usijipe steresi kwa kujaribu kuwa kama mwanamke wa Mithali 31. Hutaweza!
View attachment 2722595View attachment 2722596
@Georgyna msome huyu, amegusa penyewe au kakisia vibayawalokole na umalaya hamjambo.sikia dada bwanawako amepata taarifa kuwa kanisani Kuna kiongozi ana kufukuzia Sasa sijui ni mpiga kinanda au muhasibu au baba mchungaji mwenyewe?wewe ndio utakuwa na jibu sahihi.
hata Mimi mkewangu siwezi kukubali ajifanye mtu wadini sana kumbe nichakula Cha viongozi kwenye ibada zao
hatakama hujaliwa ila kutompa taarifa kuwa ibadani Kunamtu anakutongoza hilo nikosa mana mtongozaji akiongeza siraha za mashambulizi utaliwa na itakuwa ndio tabiayako.
mwamba Yuko sahihi kukuacha.
unatongozwa kanisani hovyo.punguza kwenda kanisani.Kasema hatuendani nina tabia mbaya😁😁😭
99.99% ✅️✅️✅️📌📌📌📌📌👏🏼👏🏼👏🏼Walokole na umalaya hamjambo...
Ni boya tu maana kapata mke wa Mithali 31 halafu wala hajatambua. Mwambie anachokitafuta atakipata! 😁Hongera sana mkuu.
Umeyapa thamani mazuri yake ndo mana imekua rahisi kuyavumilia madhaifu yake.
Natamani huyo mwenzangu angenijua vizuri labda angeyaona mazuri yangu ambayo yangesaidia kukata makali ya madhaifu yangu.
NB:Sijapenta ulivyomuita boya mkuu😁
niña uhakika japo hataki kusema japa ila medio sababu kuu.99.99% ✅️✅️✅️📌📌📌📌📌👏🏼👏🏼👏🏼
Japo wanakulana wao kwa wao lakini binti wa kilokole akitakwa na Baba Mchungaji anachukulia kama ni bahati imemwangukia na ataliwa tu! Hapo bado mwenyekiti wa kwaya mara sijui nani 🚮
Japo mwanamke anaweza kuliwa po pote lakini huko ulokoleni wanakuwa brainwashed/manipulated kiasi kwamba wako tayari hata kuvunja ndoa zao ili kumfurahisha Baba Mchungaji. Wakija kushtuka ni too late kila kitu kilishaharibika na Ba Mchungaji keshahamia kwa victims wengine.
Mithali 31:10-31
Yuko sahihi kuniona hivyo.Ni kweli nimeonesha tabia mbaya😁.Na ameniorodheshea sifa zangu zote mbaya nilizoonesha kwake.So hajanionea ila hizo sifa mbaya akiwahadithia ma ex wangu watamshangaa na kumuona muongo.Sijisifii mkuu ila ex zangu wanaapa kuwa hawatakaa wapate mwanamke bora kama mim,wanawaambia hadi ndugu na marafiki zao ila sasa huyu wa sasa/mwisho shida kubwa imeletwa na jinsi tumekutana.The way tumekutana ndo imefanya niwe na hizo "sifa mbaya" ila yeye anadhani ndo nilivyo na simlaumu kwa hilo.Na ukijipima, yuko sahihi kwa hitimisho lake hili hasa ukizingatia kwamba tabia zetu mbaya tunaweza zisiwe dhahiri kwetu?
Muulize hizo tabia zako mbaya alizoziona ni zipi na kama uko tayari kuzirekebisha ufanye hivyo gemu ili liendelee 😁
Sasa nikisema kila kitu halafu bahati mbaya apite hapa si atajua halafu azidi kuniona wa hovyo mkuu?Nimeona ila nayo unasema tu "amapata taarifa mbaya kunihusu na ana Imani mbaya Kwangu"
Binti unaweka code ngumu Sana kuliko hata katuni za masudi kipanya
Zitaje hapa tuone kama jamaa yupo sahihi au tumpe darsa.Ndio..
Moja baada ya nyingine.
Nililiaje?[emoji16]
Huenda akipita hapa atajua kuwa amekosea kukudhania. Kwasasa huna Cha kupoteza Zaid, useme au usiseme yeye ameshafikia maamuzi.Sasa nikisema kila kitu halafu bahati mbaya apite hapa si atajua halafu azidi kuniona wa hovyo mkuu?
Achana na ma ex zako. Kumbe we bado hujawajua wanaume eeeh! Wanakwambia hivyo kwa sababu baadhi yao bado wana matumaini ya kukutafuna tena.Yuko sahihi kuniona hivyo.Ni kweli nimeonesha tabia mbaya😁.Na ameniorodheshea sifa zangu zote mbaya nilizoonesha kwake.So hajanionea ila hizo sifa mbaya akiwahadithia ma ex wangu watamshangaa na kumuona muongo.Sijisifii mkuu ila ex zangu wanaapa kuwa hawatakaa wapate mwanamke bora kama mim,wanawaambia hadi ndugu na marafiki zao ila sasa huyu wa sasa/mwisho shida kubwa imeletwa na jinsi tumekutana.The way tumekutana ndo imefanya niwe na hizo "sifa mbaya" ila yeye anadhani ndo nilivyo na simlaumu kwa hilo.
Mi kujirekebisha sio tatizo sababu nampenda,ninachohofia ni hata nikiacha asiyoyapenda si atadhani naficha makucha kupretend?
Mara ya mwisho nimempa ushahidi wa jinsi nimetongozwa nikakataa hilo nikadhani natengeneza kumbe mwenzangu akaliangalia lile tukio kwa angle nyingine nalo likawa sehemu ya tabia zangu mbaya.Na kweli kiuhalisia njia niliyotumia kupata huo ushahidi haikua ya kistaarabu na sio tabia yangu kuwafanyia watu hivyo ila ndo yeye kashaamini niko hivyo na sina uwezo wa kumprove wrong.walokole na umalaya hamjambo.sikia dada bwanawako amepata taarifa kuwa kanisani Kuna kiongozi ana kufukuzia Sasa sijui ni mpiga kinanda au muhasibu au baba mchungaji mwenyewe?wewe ndio utakuwa na jibu sahihi.
hata Mimi mkewangu siwezi kukubali ajifanye mtu wadini sana kumbe nichakula Cha viongozi kwenye ibada zao
hatakama hujaliwa ila kutompa taarifa kuwa ibadani Kunamtu anakutongoza hilo nikosa mana mtongozaji akiongeza siraha za mashambulizi utaliwa na itakuwa ndio tabiayako.
mwamba Yuko sahihi kukuacha.