Sijawahi kuambiwa maneno yakaniuma kama aliyoniambia aliyekuwa mpenzi wangu, sitayasahau kamwe

Sijawahi kuambiwa maneno yakaniuma kama aliyoniambia aliyekuwa mpenzi wangu, sitayasahau kamwe

Alichosema huyo yalikuwa maoni yake na mtazamo wake Kwako. Je anakujua na kukuelewa Wewe unavyojijua Wewe

Hapana

You are much More than his opinion.

Jiamini. Jipende.
 
Mwanamke

Mwanamke wa Mithali 31 siyo mwanamke mmoja. Hilo linaeleweka kwa wanazuoni wengi wa Theolojia maana katika uhalisia wake hakuna mwanamke ambaye anaweza kuwa na sifa zote zile labda awe roboti la Elon Musk.

Walimu wengi wanaofundisha mambo ya ndoa huitumia Mithali 31 kama picha tu ya sifa za jumla ambazo mke mwema anapaswa kuwa nazo. Kila muoaji ana vigezo vyake au sifa anazozitafuta na akizipata kwa kiwango cha asilimia angalau 60+ basi inatosha.

Tukumbuke tu kuwa hakuna aliye mkamilifu. Hata Mama E wangu siyo mkamilifu na ana mapungufu mengi sana lakini kwa vile ana sifa chache za msingi nilizokuwa nazitafuta kwa mwanamke basi inatosha. Mengine tunavumiliana, kurekebishana na kuchukuliana kama wanadamu; maana hata mimi siyo mkamilifu kwake.

Na pole kwa maneno ya kuumiza uliyoambiwa na huyo boya aliyekuumiza lakini usijipe steresi kwa kujaribu kuwa kama mwanamke wa Mithali 31. Hutaweza!
View attachment 2722595View attachment 2722596
Hongera sana mkuu.
Umeyapa thamani mazuri yake ndo mana imekua rahisi kuyavumilia madhaifu yake.
Natamani huyo mwenzangu angenijua vizuri labda angeyaona mazuri yangu ambayo yangesaidia kukata makali ya madhaifu yangu.

NB:Sijapenta ulivyomuita boya mkuu😁
 
walokole na umalaya hamjambo.sikia dada bwanawako amepata taarifa kuwa kanisani Kuna kiongozi ana kufukuzia Sasa sijui ni mpiga kinanda au muhasibu au baba mchungaji mwenyewe?wewe ndio utakuwa na jibu sahihi.

hata Mimi mkewangu siwezi kukubali ajifanye mtu wadini sana kumbe nichakula Cha viongozi kwenye ibada zao

hatakama hujaliwa ila kutompa taarifa kuwa ibadani Kunamtu anakutongoza hilo nikosa mana mtongozaji akiongeza siraha za mashambulizi utaliwa na itakuwa ndio tabiayako.

mwamba Yuko sahihi kukuacha.
@Georgyna msome huyu, amegusa penyewe au kakisia vibaya
 
Walokole na umalaya hamjambo...
99.99% ✅️✅️✅️📌📌📌📌📌👏🏼👏🏼👏🏼

Japo wanakulana wao kwa wao lakini binti wa kilokole akitakwa na Baba Mchungaji anachukulia kama ni bahati imemwangukia na ataliwa tu! Hapo bado mwenyekiti wa kwaya mara sijui nani 🚮

Japo mwanamke anaweza kuliwa po pote lakini huko ulokoleni wanakuwa brainwashed/manipulated kiasi kwamba wako tayari hata kuvunja ndoa zao ili kumfurahisha Baba Mchungaji. Wakija kushtuka ni too late kila kitu kilishaharibika na Ba Mchungaji keshahamia kwa victims wengine.
 
Hongera sana mkuu.
Umeyapa thamani mazuri yake ndo mana imekua rahisi kuyavumilia madhaifu yake.
Natamani huyo mwenzangu angenijua vizuri labda angeyaona mazuri yangu ambayo yangesaidia kukata makali ya madhaifu yangu.

NB:Sijapenta ulivyomuita boya mkuu😁
Ni boya tu maana kapata mke wa Mithali 31 halafu wala hajatambua. Mwambie anachokitafuta atakipata! 😁
 
99.99% ✅️✅️✅️📌📌📌📌📌👏🏼👏🏼👏🏼

Japo wanakulana wao kwa wao lakini binti wa kilokole akitakwa na Baba Mchungaji anachukulia kama ni bahati imemwangukia na ataliwa tu! Hapo bado mwenyekiti wa kwaya mara sijui nani 🚮

Japo mwanamke anaweza kuliwa po pote lakini huko ulokoleni wanakuwa brainwashed/manipulated kiasi kwamba wako tayari hata kuvunja ndoa zao ili kumfurahisha Baba Mchungaji. Wakija kushtuka ni too late kila kitu kilishaharibika na Ba Mchungaji keshahamia kwa victims wengine.
niña uhakika japo hataki kusema japa ila medio sababu kuu.

miaka yasasa hivi ndoa nyingi zinavunjika Sabu kuu niusaliti.

kilasiku kanisani kutwa kucha watu wataacha kutesti mitambo?☹️
 
Na ukijipima, yuko sahihi kwa hitimisho lake hili hasa ukizingatia kwamba tabia zetu mbaya tunaweza zisiwe dhahiri kwetu?

Muulize hizo tabia zako mbaya alizoziona ni zipi na kama uko tayari kuzirekebisha ufanye hivyo gemu ili liendelee 😁
Yuko sahihi kuniona hivyo.Ni kweli nimeonesha tabia mbaya😁.Na ameniorodheshea sifa zangu zote mbaya nilizoonesha kwake.So hajanionea ila hizo sifa mbaya akiwahadithia ma ex wangu watamshangaa na kumuona muongo.Sijisifii mkuu ila ex zangu wanaapa kuwa hawatakaa wapate mwanamke bora kama mim,wanawaambia hadi ndugu na marafiki zao ila sasa huyu wa sasa/mwisho shida kubwa imeletwa na jinsi tumekutana.The way tumekutana ndo imefanya niwe na hizo "sifa mbaya" ila yeye anadhani ndo nilivyo na simlaumu kwa hilo.

Mi kujirekebisha sio tatizo sababu nampenda,ninachohofia ni hata nikiacha asiyoyapenda si atadhani naficha makucha kupretend?
 
Achana na ma ex zako. Kumbe we bado hujawajua wanaume eeeh! Wanakwambia hivyo kwa sababu baadhi yao bado wana matumaini ya kukutafuna tena.

Na kwa nini bado unawasiliana na ma ex zako wakati upo kwenye mahusiano tena siriazi. Imeandikwa wapi kwenye Mithali 31 kwamba mke mwema ataendelea kuwasiliana na ma ex zake (lukuki)?

Kamwe usijenge ego yako kwa kutegemea sifa za mgongo wa chupa wanazokupaka hao ma ex wenye malengo yao binafsi kwako.

Msikilize mwamba (sijamuita boya) maana tayari nimeanza kuhisi kuwa kuna kitu hakiko sawa (hasa kwa upande wako). Endelea kujitafuta na kujitathimini isije ikawa umejipachika tu bure hicho cheo cha umwanamke wa Mithali 31; na jamaa keshausoma mchezo! 😁😁😁
 
walokole na umalaya hamjambo.sikia dada bwanawako amepata taarifa kuwa kanisani Kuna kiongozi ana kufukuzia Sasa sijui ni mpiga kinanda au muhasibu au baba mchungaji mwenyewe?wewe ndio utakuwa na jibu sahihi.

hata Mimi mkewangu siwezi kukubali ajifanye mtu wadini sana kumbe nichakula Cha viongozi kwenye ibada zao

hatakama hujaliwa ila kutompa taarifa kuwa ibadani Kunamtu anakutongoza hilo nikosa mana mtongozaji akiongeza siraha za mashambulizi utaliwa na itakuwa ndio tabiayako.

mwamba Yuko sahihi kukuacha.
Mara ya mwisho nimempa ushahidi wa jinsi nimetongozwa nikakataa hilo nikadhani natengeneza kumbe mwenzangu akaliangalia lile tukio kwa angle nyingine nalo likawa sehemu ya tabia zangu mbaya.Na kweli kiuhalisia njia niliyotumia kupata huo ushahidi haikua ya kistaarabu na sio tabia yangu kuwafanyia watu hivyo ila ndo yeye kashaamini niko hivyo na sina uwezo wa kumprove wrong.

NIMEKOMA..Sitamwambia tena mwanaume nikitongozwa cha msingi najua sina tabia ya usaliti basi
 
Back
Top Bottom