Sijawahi kuambiwa maneno yakaniuma kama aliyoniambia aliyekuwa mpenzi wangu, sitayasahau kamwe

Sijawahi kuambiwa maneno yakaniuma kama aliyoniambia aliyekuwa mpenzi wangu, sitayasahau kamwe

Kuna kitu hakiko sawa japo hataki kukisema maana hata maelezo yake hayajanyooka. Tena kimetokea huko huko kanisani kwao na mwamba kajua...na hawa ma ex wanaomjaza upepo hawa ndo kabisaa wanazidi kuharibu!
Kifupi Binti anatuhumiwa kuwa ni muhuni lakini anashindwa kuthibitisha Hilo . Badala yake anapeleka kimeseji kimoja Cha boya aliemkataa
 
Kuna vita kali sana kati ya expectations na reality

Ila mda mwingine we unajijuaje kwamba una sifa za kwenye mithali 31? Sijajua changamoto yako kiundani na ningejua pia ningetamani kujua mwenza wako nae anasemaje šŸ¤”šŸ¤”

Lkn kama member ultra pro max 😁wa kataaa ndoa hua naogopa sana mwanamke anaejaribu kutumia Imani/kujibanza katika mwamvuli wa maandiko ktk kujaribu kuamini ndo solution.
Hofu yako ya mim kujibanza kwenye mwamvuli wa imani ingeniathiri iwapo niko hapa kutafuta mwenza..

Kwani mkuu kwa mfano ukiwa mlevi au mzinzi si utajua mim ni mzinz sbb sifa za mzinz zinajulikana.?
 
Kwa kulijua hilo, fanya basi umuombe hata msamaha ili naye apate angalau ka-faraja
Najilaumu kufuta Neno 'mpuuzi' maana huku mbele nimegundua kuwa anastahili. Kwakifupi ni Binti ambae ni mlokole lakini anamahusiano ya karibu na ma ex, wanaume wakimtongoza anamuonesha meseji jamaa za aliowakataa tu, tuhuma zinazomtafuna ni za kimahusiano na jamaa kafika mwisho badala ya kuomba msamaha na kuyamaliza anafungua Uzi na hasemi mpaka achimbwe Sana ndo anafunguka Moja Moja.
 
Hofu yako ya mim kujibanza kwenye mwamvuli wa imani ingeniathiri iwapo niko hapa kutafuta mwenza..

Kwani mkuu kwa mfano ukiwa mlevi au mzinzi si utajua mim ni mzinz sbb sifa za mzinz zinajulikana.?
Kwa kiasi flan mi nimekuelewa ila kusema ungetafuta mwenza ndo uthibitisho sio kweli kuna sehemu kwenye andiko lako ulisema nlijitahidi niwe mwanamke wa kwenye mithali 31..... sasa nani aliku-asses kwamba una hvo vigezo?

Uzinzi au ulevi binafsi unajijua ni kwel...katika scenario yako naona kama kwa sababu we uliji-shape kua na sifa za mithali lkn ulivokuja kuingia katika mahusiano ulikuja kua disappointed na kauli ulizoambiwa na mtu wako...unajua kwann? Kwa sababu uliamini kwa the way ulivobehave hukutegemea kua defined hvo...yawezekana bado ulikua huna hvo vigezo
 
Najilaumu kufuta Neno 'mpuuzi' maana huku mbele nimegundua kuwa anastahili. Kwakifupi ni Binti ambae ni mlokole lakini anamahusiano ya karibu na ma ex, wanaume wakimtongoza anamuonesha meseji jamaa za aliowakataa tu, tuhuma zinazomtafuna ni za kimahusiano na jamaa kafika mwisho badala ya kuomba msamaha na kuyamaliza anafungua Uzi na hasemi mpaka achimbwe Sana ndo anafunguka Moja Moja.

Umeandika vingi ila huna ulilopatia labda lakujuta kufuta neno mpuuzi tu ndo la kweli
 
Back
Top Bottom