Sijawahi kuambiwa maneno yakaniuma kama aliyoniambia aliyekuwa mpenzi wangu, sitayasahau kamwe

Sijawahi kuambiwa maneno yakaniuma kama aliyoniambia aliyekuwa mpenzi wangu, sitayasahau kamwe

Changamoto inakuja sehem moja
Wewe binafsi ndo unajipa ujiko na kujiona ni wa mithali 31.
Lakini olitakiwa huku nje watu wengine ndo waone hilo. Ni kama kujitekenya mwenyewe af ucheke then uje huku jukwaani utupange kua hua ukitekenywa unacheka.
And worse enough, hao wanaoona kua wewe ni wa mithali ni ma ex zako (hutujui wanaume vizuri wewe).
Uzuri jamaa ako hajawa mnafki, amekuorodheshea makosa yako yote pamoja na kukuita "wichi".
You have a long way to go.
Oh, on the flip side, haimaanishi mtu akiwa anaenda church sio mdhambi, nna rafiki zangu jumapili huwakosi wakiwa na makoti mazuri na wanaimba mapambio, lakn jumapili ikiisha ni vitombi shetani akasome.
Yaeza kua wewe na bwana wako wote mmekunywa uji wa mgonjwa kabla ya muda wa kuona wagonjwa.
 
Utakuwa una GUBU sana.

Unaweza kuwa unajiheshimu huna makando kando mengi ila BONGE la GUBU yaani huishiwi kelele na kulalama lalama. Au hauko romantic sana.

Wanaume TUNAPENDA UTULIVU Hali ya kutokuwa na maghasia Kila wakati na maneno maneno.

Kama una hizo Tabia acha.

Huwezi mbadilisha mwanaume. Atajibadilisha mwenyewe kadri ya muda unavyokwenda.

Kama huwezi mvumilia mtu mwache acha kulalama lalama. Na ukajiona Bora kumbe una makando kando Yako kibao.

Kuna wanaume huwa hata akiona madhaifu hawezi ongea yaani hawajajaliwa maneno wao ni vitendo tu. Utamu au uchungu utaupata.
 
Kwa kiasi flan mi nimekuelewa ila kusema ungetafuta mwenza ndo uthibitisho sio kweli kuna sehemu kwenye andiko lako ulisema nlijitahidi niwe mwanamke wa kwenye mithali 31..... sasa nani aliku-asses kwamba una hvo vigezo?

Uzinzi au ulevi binafsi unajijua ni kwel...katika scenario yako naona kama kwa sababu we uliji-shape kua na sifa za mithali lkn ulivokuja kuingia katika mahusiano ulikuja kua disappointed na kauli ulizoambiwa na mtu wako...unajua kwann? Kwa sababu uliamini kwa the way ulivobehave hukutegemea kua defined hvo...yawezekana bado ulikua huna hvo vigezo
Nilimaanisha kuwa,ningekua niko hapa kutafuta mwenza halafu wanaume wakahisi mim ni muovu nimejificha kwenye ulokole ndo ingeniathiri mana nisingepata mwenza.

Mwanamke wa 31 anajijua.Kwani kuna ugumu gani kujua kuwa nitakachopata kwenye mahangaiko yangu kitasaidiana na atakachopata mwenzangu au kuna ugumu gani mtu kujua kuwa nikiolewa cha mume ni cha kutunzia familia n changu ni changu na watu wa kwetu?
Au kuna ugumu gani kujua mimi sipendi kujibweteka na sio vyema mwenza wangu ateseke peke yake kutunza familia au kujua kuwa nataka niolewe ili nipate unafuu wa maisha,nishinde nikiangalia series mana mume wangu ni wajibu wake kututunza.

Hata ukae na mwanamke miaka 10 huwezi kujua kama ukiwa impotent au ukafungwa au Bill Gate akimtaka hatakuacha.Ni yeye ndie anayejua anayatizama vipi maisha.Ni yeye ndie anayejua kuolewa na Bill Gate kunaweza kusimpe furaha unayompa wewe.
Unaweza kuona mkeo ni walu walu mlalamishi na ukadhani huyo ukifukuzwa kazi atakukimbia ila akakushangaza.

Na yule unayemuona mwanakondoo unayedhani atasimama na wewe kwenye shida akakushangaza pia.

Mwanamke pekee ndie anajua nini anaweza kufanya na nini hawezi kufanya.Na bora anayekuonyesha madhaifu yake kuliko anayekuonyesha umalaika tu.Huyo lazima anafake sbb hakuna binadamu asiye na kasoro
 
🗣️
 
Attachments

  • Screenshot_20230808-110344~2.jpg
    Screenshot_20230808-110344~2.jpg
    29.7 KB · Views: 1
kwamuktadha huu wewe unadeti na waumini wenzako.

na ukaenda mbali zaidi Hadi ukaliwa na mchungaji.

narudia Tena kusema kua wewe ni malaya wala hufanani na mwanamke wakwenye mithali.

Acha uhuni kanisani
Mungu akupe amani ya moyo mkuu.
 
Changamoto inakuja sehem moja
Wewe binafsi ndo unajipa ujiko na kujiona ni wa mithali 31.
Lakini olitakiwa huku nje watu wengine ndo waone hilo. Ni kama kujitekenya mwenyewe af ucheke then uje huku jukwaani utupange kua hua ukitekenywa unacheka.
And worse enough, hao wanaoona kua wewe ni wa mithali ni ma ex zako (hutujui wanaume vizuri wewe).
Uzuri jamaa ako hajawa mnafki, amekuorodheshea makosa yako yote pamoja na kukuita "wichi".
You have a long way to go.
Oh, on the flip side, haimaanishi mtu akiwa anaenda church sio mdhambi, nna rafiki zangu jumapili huwakosi wakiwa na makoti mazuri na wanaimba mapambio, lakn jumapili ikiisha ni vitombi shetani akasome.
Yaeza kua wewe na bwana wako wote mmekunywa uji wa mgonjwa kabla ya muda wa kuona wagonjwa.
Hakuna mtu asiyejijua.
Ndo mana jirani aliyewapa watu picha kuwa ni mwema siku moja wakaujua ukweli wake kuwa ni muovu.

Wanaume/wake wanaolalamikia ndoa zao humu ni kwa sababu walifhani wameoa malaika wakaja kushangazwa sbb walidhani wanawajua wanaowaoa
 
Utakuwa una GUBU sana.

Unaweza kuwa unajiheshimu huna makando kando mengi ila BONGE la GUBU yaani huishiwi kelele na kulalama lalama. Au hauko romantic sana.

Wanaume TUNAPENDA UTULIVU Hali ya kutokuwa na maghasia Kila wakati na maneno maneno.

Kama una hizo Tabia acha.

Huwezi mbadilisha mwanaume. Atajibadilisha mwenyewe kadri ya muda unavyokwenda.

Kama huwezi mvumilia mtu mwache acha kulalama lalama. Na ukajiona Bora kumbe una makando kando Yako kibao.

Kuna wanaume huwa hata akiona madhaifu hawezi ongea yaani hawajajaliwa maneno wao ni vitendo tu. Utamu au uchungu utaupata.
Umeeleweka mkuu
 
Yuko sahihi kuniona hivyo.Ni kweli nimeonesha tabia mbaya😁.Na ameniorodheshea sifa zangu zote mbaya nilizoonesha kwake.So hajanionea ila hizo sifa mbaya akiwahadithia ma ex wangu watamshangaa na kumuona muongo.Sijisifii mkuu ila ex zangu wanaapa kuwa hawatakaa wapate mwanamke bora kama mim,wanawaambia hadi ndugu na marafiki zao ila sasa huyu wa sasa/mwisho shida kubwa imeletwa na jinsi tumekutana.The way tumekutana ndo imefanya niwe na hizo "sifa mbaya" ila yeye anadhani ndo nilivyo na simlaumu kwa hilo.

Mi kujirekebisha sio tatizo sababu nampenda,ninachohofia ni hata nikiacha asiyoyapenda si atadhani naficha makucha kupretend?
Kumbe una ma Ex?
Mithali inasemaje kuhusu hilo?
 
Mkuu tumecheka wote
,Acha nicheke kwanza🤭😁😂🤣😅😄😃😀
haya tuendelee Mae x unao wangapi ndugu mlalamikaji?

nasio mlalamikaji tuu pia wewe ni mwanamke wakwenye mithali ambae mwamba ameshindwa kukutambua kabisa🤭🤭

nahao max walikuoa au vipi?

mkuu huna Cha umwanamke wakwenye mithali wala nini wee ni malaya.
mwanamke wakwenye mithali sifa yake kuu aliolewa akiwa bikiraa.wewe endelea na umalaya wako Hadi ujaze yutong ya max Huku ukijisifia kuwa wewe nimwanamke wakwenye mithali.
🤭polee
 
Back
Top Bottom