Sijawahi kujutia kwenye maisha yangu, mpaka siku niliyokutana na yule Mzee

Anaangalia reaction ya watu alafu achague option moja ya hii hadithi yake sababh ana option mbili za muendelezo๐Ÿ˜
Yeaaah.... Ndo huwa inakuwa hivyo unawasoma kwanza wadau. Halafu unaangalia jinsi ya kuwapiga chenga angalau kidogo.
 
Nisameheni sana wakuu, bahati mbaya dharura haiji na taarifa. Kune emergency ilijitokeza kwa upande wangu, that's why nilikuwa kimya tokea jumamosi jioni.

Twende pamoja, tumalizie [emoji120][emoji120]
Mkuu Apostoo umeamza kuchelewesha portion kumbe upo na Mzee KY anakuvuruga akili, mwambie akukatie kiasi cha maana utambae... achana na jiji, kisha rudi kwa mganga akugange dhidi ya mstaafu! vinginevyo utawaangaisha wazazi wako kwa mara nyingine...
 
Gily hawezi kuwa mseminarily. Tuliosoma seminary hatupo kama yeye ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
Uyo alikuwa anaimbisha ule wimbo

Nitaimba siku zote kwa yesu moyo mkuu kuliko vitu vyote nitapenda moyo uhu

Sema shetani kamkamata sikuiz
 
No one went to help au of help? Anyway possibly people thought he was a mad man and by the way kule ni sehemu ambayo people are so busy. Huwezi pigwa na watu wanne sehemu yenye polisi then wakuteke ibaki hivyo hivyo. Sema kwenye kunogesha story unaweka tu wasomaji wenyewe wengi vilaza hawajielewi. Unapopata nafasi ya kutunga uwe makini.
 
Nisameheni sana wakuu, bahati mbaya dharura haiji na taarifa. Kune emergency ilijitokeza kwa upande wangu, that's why nilikuwa kimya tokea jumamosi jioni.

Twende pamoja, tumalizie [emoji120][emoji120]

Ndio unaomba radhi na episod moja kweli kwa hiyo baada ya iftar utaweka nyingine?
 
Mkuu Apostoo umeamza kuchelewesha portion kumbe upo na Mzee KY anakuvuruga akili, mwambie akukatie kiasi cha maana utambae... achana na jiji, kisha rudi kwa mganga akugange dhidi ya mstaafu! vinginevyo utawaangaisha wazazi wako kwa mara nyingine...
Mkuu hilo jina lako , naweza kushare jambo na wewe ikiwa unatokea sehemu hiyo ? Samahani lakini
 
kwa hiyo wewe umeona 'of help' ndiyo sahihi zaidi!? ...hujui kitu na hujui kuwa hujui... huna tofauti na mstaafu kwenye hii stori
 
Hiyo ni typing error tu, na sikutaka kuandika of, Bali for, na sio To kama ulvyosuggest ww, ila anyway nashkuru kwa kunirekebisha.

Kwahiyo watu wapo busy, lakini wanaweza kumzunguka mtu, wanamwangalia hadi anakufa, na wanaendelea kuwepo tu hapo hapo au mad man hastahili kupewa huduma ya kwanza? ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

Kama mad man anapotezewa, vipi kuhusu chizi? ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

Mkuu mkuu mkuu ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ