Sijawahi kujutia kwenye maisha yangu, mpaka siku niliyokutana na yule Mzee

Ky hana akili ya hata mmoja hapoo.....

We hukumbuki kuna episode Raymond alifulia akawa mwizi wa Magari ika hakuchukua mda mrefu akarudi Top
hahahaha yule mzee ni balaa sana
 
Ila aposto na mshua wako sometimes utadhani mahasimu watani!!
 
Shukrani sanaa kwa kutoa muda wako kutusimulia story nzuri ya kutufunza na kutuburudisha piahh Analyse

Barikiwa sana!!
πŸ™
 
Shukrani sanaa kwa kutoa muda wako kutusimulia story nzuri ya kutufunza na kutuburudisha piahh Analyse

Barikiwa sana!!
πŸ™
Amina πŸ™πŸ™.

Nazipokea baraka zako kwa mikono miwili
 
Hili Hitimisho ni darasa tosha! Linamafunzo mengi sana kwa watu wa rika zote, uwe mzazi, uwe kijana, binafsi nimepata mafunzo ya kutosha, kuna watu nilikuwa nawalaumu ila kuanzia sasa siwalaumu tena! Kumbe tuko kwenye safari tofauti, wacha niendelee na safari yangu nikiwa na amani kabisa!
Itoshe kusema Mzee wako ni hazina.
 
Mama mstaafu hujawah onana?
 
Kwa hiyo sasa hivi baada ya iftar tufanyeje[emoji2301][emoji2301][emoji2301] si utusimulie nyingine
Endeleeni na zile zingine, kuna story ya akinyi, Babu yangu mshikaji wangu, shada kwenye makaburi nk πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Endeleeni na zile zingine, kuna story ya akinyi, Babu yangu mshikaji wangu, shada kwenye makaburi nk πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Acha basi hawapost wale πŸ™†πŸΌβ€β™‚οΈπŸ™†πŸΌβ€β™‚οΈπŸ™†πŸΌβ€β™‚οΈ
 
Sawa mkuu Kama umemaliza, lakin hujatuwmbia ule msala wa mstaafu uliishia wapi

Vipi mzee kesho yetu na mzee dingi, mliishia wapi au hujawah kukutana nao Tena? Mana nakumhuka kuna sehemu ulisema mpaka Leo mzee dingi anakumind
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Antonnia hizo namba unazoomba huko PM unataka kunifanyaje???
 
Sawa mkuu Kama umemaliza, lakin hujatuwmbia ule msala wa mstaafu uliishia wapi

Vipi mzee kesho yetu na mzee dingi, mliishia wapi au hujawah kukutana nao Tena? Mana nakumhuka kuna sehemu ulisema mpaka Leo mzee dingi anakumind
Nimeshajibu kwenye comments za huko juu mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…