Sijawahi kujutia kwenye maisha yangu, mpaka siku niliyokutana na yule Mzee

Asante kk
 
@Analyse the genius [emoji119]

Hii ni zaidi ya elimu huu ni wosia uliojitosheleza super and brilliant. Asante sana kwa kuweka hii mada hapa mahali.

Uendelee kuishi sana mkuu Mungu akubariki na muweke Mungu mbele.
 
Mshua: "Siwezi jua, labda unatanguliza hela je?. Alafu zikiisha wanakuacha, unarudi huku kupumzika, tunajua unastress za maisha kumbe wanawake...
 
@Analyse the genius [emoji119]

Hii ni zaidi ya elimu huu ni wosia uliojitosheleza super and brilliant. Asante sana kwa kuweka hii mada hapa mahali.

Uendelee kuishi sana mkuu Mungu akubariki na muweke Mungu mbele.
Shukrani sana mkuu πŸ™ πŸ™
 
Hakika watu wanaishi kwa "Mishen-town"
Yaani, Dingi kakaba kila sekta !!
 
Hapo ndo utajua watu "wamepinda" wakidhani huko Ugangani watapunguza matatizo kumbe ndo wanaongeza petroli kwenye moto.
Kbs yn, na wabongo wengi wanaamini sn uganga 🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
dadapesa anzia hapa
 
Mshua wako Ni mwanafalsafa mtupu. Great mkuu, ukikutana naye au mkiwasiliana naomba umfikishie salamu zangu, mwambie tumeburudika na kuelimika vya kutosha kwa punch zake mwanzo msisho, nawe umekua msimuliaji mzuri Sana, una maandishi flani yasiyochosha hata kidogo, Mwenyezimungu wetu wa haki akubariki wewe na kizazi chako chote in Sha Allah
 
Yani hata sijui nisemeje..ila mkuu hongera sanaa kwa huu uzi..mimi ni mdada ila nimeyachukua mafunzo ya baba yako na nitayafanyia kazi..kuna sehemu nimescreen shot maana ni nondo za hatari ni motivational quotes za maana...
Thanx Analyse sichoki kusoma story zako since day one..maana zinaburudisha na kuelimisha
Endelea kuni tag kwa new posts kwani tag zako haziendi bure zinafanyiwa kazi πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…