Wee c umezoea kutembea na wamama[emoji23][emoji23][emoji23]
Poa mkuu nna imani inayokuja hutomkasirisha mshua.Kaka, jioni tu hapo. Now namalizia kuandika
Kwani ile kitu inaokokaga? πNimeacha mkuu. Nimeokoka π π
Mshua bado yuko, ndugu zako wengine wapo mahusiano yenu yakoje??Nimeacha mkuu. Nimeokoka [emoji28][emoji28]
ππππNyakibimbiri hii hii ya Izimbya?[emoji38][emoji38]
Tunasubiria kwa hamuu mkuu natamani sana kujua mliyamalizaje na jembe lako mchagah!π π π Tukutane baadae hapo tuendelee
Mchaga nilimkimbiaga, japo tulikuja kuonana nilivyofataga cheti. Hakuwa na hasira tena, ila aling'ang'ania begi langu hadi nikamnunulia kitimoto na bia 3 π π πTunasubiria kwa hamuu mkuu natamani sana kujua mliyamalizaje na mchagah!
ππππ! Mchagga noumaaaa!!πMchaga nilimkimbiaga, japo tulikuja kuonana nilivyofataga cheti. Hakuwa na hasira tena, ila aling'ang'ania begi langu hadi nikamnunulia kitimoto na bia 3 π π π
Una bahati umekataa ningekup buku saba?No way, wachaga na hela, hamuaminiki. Namaliza hapa hapa π π
Mkuuu njoo basi
Unajua story zako wewe jamaaa,nashindwa kuelewa km Ni kweli au unatunga,Ila kipawa unacho Cha utungaji na Cha usimuliajiKaribu