Sijawahi kujutia kwenye maisha yangu, mpaka siku niliyokutana na yule Mzee

Halafu kumbe portion 5 ulishatuma duh ndio nashangaa hapa naona portion 6 jf sijui wanakwama wapi kwenye notifications mara zinakuja mara haziji lol ngoja niue zote kwa mpigo Santo sana!!
Mbona nilikutag mrembo? Itakuwa notification ndio hazikuja
 
Maza alidhani umemletea Mkwe lijishangaziπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚!!
 
[emoji28][emoji28]
 
We jamaa story yako ina chekesha Sana inaonekana ulikuwaga kiboko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…