Sijawahi kujutia kwenye maisha yangu, mpaka siku niliyokutana na yule Mzee

uliingia mtegoni kijinga sana chief[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], tapeli huwa haachi utapeli.......
tapeli na biashara halali wapi na wapi?
 
uliingia mtegoni kijinga sana chief[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], tapeli huwa haachi utapeli.......
tapeli na biashara halali wapi na wapi?
Nilikuwa nahitaji kufanya biz ili niingize hela. So ilikuwa rahisi kunichota, maana plan ilikuwa genuine
 
Nilikuwa nahitaji kufanya biz ili niingize hela. So ilikuwa rahisi kunichota, maana plan ilikuwa genuine
raia za hivyo huwa wahuni sana, ukikataa kujiunga nae basi anakufanyia ushetani (kwa kumtumia third party) ili na wewe ugeuke shetani, at the end anakua kafanikiwa lengo lake,

hongera kwa story nzuri
 
Mikanjuni, Raskazone, Chichi, Sahare, barabara ya 14 ndio ilikuwa mitaa yangu
hivi pale chichi madada poa bado wapo?
long time sijaenda tanga......
ila ule mji ni balaa, alafu wenyeji wanasema eti miaka hii (2000-to date) mahaba hamna kabisa[emoji849][emoji849][emoji849]....... najaribu kuwaza ilikuaje zamani
 
Sasa hivi ndio wamezidi kuwa wajanja. Chichi na La Casa, vile viwanja haviwezi kufa. Nilikuwa naendaga maeneo hayo kuangalia mechi za UEFA, ila muda wote macho yanashangaa totoz tu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
raia za hivyo huwa wahuni sana, ukikataa kujiunga nae basi anakufanyia ushetani (kwa kumtumia third party) ili na wewe ugeuke shetani, at the end anakua kafanikiwa lengo lake,

hongera kwa story nzuri
Thanks master
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…