Sijawahi kujutia kwenye maisha yangu, mpaka siku niliyokutana na yule Mzee

Apostle mbona tagging zako sizioni 😁
 
Once a lion, always a lion mzee dingi mpaka anapotea kwenye uso wa dunia hawezi kuacha utapeli.
 
😀😀😀
 
😂😂😂 Aiseh pole sana
 
Sawa mkuu usijali. Alaf Mimi sio apostle [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Ila yule mzee alipatia sana alivyokuambia kuwa una nyota ya kuaminika. Kiukweli mie nikiona ID yako tu huwa akili yangu inanituma kuwa wewe ni mtu mwaminifu, unaejielewa na usie na papara.

Pia nami nina nyota hiyo ya kuaminika, huwezi kuamini nishawahi kununua gari kama 3 hivi bila ya kuwa hata na 100 mfukoni.
 
Aisee pole sana,ila imeishia patamu jaman
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…