Sijawahi kujutia kwenye maisha yangu, mpaka siku niliyokutana na yule Mzee

Matapeli kweli mzoea vya kunyonga vya kuchinja hawezi. Sasa hapo biashara mbona ilikolea vizuri. Kwa sasa mngekuwa mbali sana na chanel tayari mlishaikamata vizuri sana. Kwa sasa hesabu yenu ingekuwa mbali sana
 
Mm ninavyojua theluthi ni NUSU ya robo yaani ile lbda ujazo ni robo sukari
Ili upate theluthi unagawanya nusu kwa nusu
Mfan watu 200 nusu yake watu 100 robo yake watu 50 theluthi ni 25
Hvyo ndivyo ninavyoelewa kiswahiri cha theluthi
Nadhani ushapata majibu kutoka wa wadau tayari.

Kwa kuongezea tu, nusu ya robo(1/8) inaitwa thumuni.
 
Mm ninavyojua theluthi ni NUSU ya robo yaani ile lbda ujazo ni robo sukari
Ili upate theluthi unagawanya nusu kwa nusu
Mfan watu 200 nusu yake watu 100 robo yake watu 50 theluthi ni 25
Hvyo ndivyo ninavyoelewa kiswahiri cha theluthi
πŸ™†πŸ™†πŸ™†
 
Daaaaa...... Rudi tu shule.... Kichwan unajua hesabu za kujumlisha na kutoa tu
 
Ucheke na bado hujatibiwa? πŸ˜…πŸ˜…
 
Nimecheka kifala, mm tabia za kuiba mchele na sukar na marage,sema kwa appearance hakuna anayeweza kukubali mwizi ni mimi naiba afu napanda assembly nasema kuna majangiri yanaiba chakula, nilikuwa kiranja wa diko,afu natoa ushaur wizini dhambi, wakati mwizi mwenyewe, ili tusiwe wengi tukashitukiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…