Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
🤣🤣🤣Kijana ana majanga Sana huyu.....Ila tumshukuru babu wa ziwa VictoriaHahaha mbona kama ushamchoka na ugonjwa wake [emoji23][emoji23]
Sent from my CPH2357 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣Kijana ana majanga Sana huyu.....Ila tumshukuru babu wa ziwa VictoriaHahaha mbona kama ushamchoka na ugonjwa wake [emoji23][emoji23]
Sent from my CPH2357 using JamiiForums mobile app
Hata usijali wewe hata kama sio mchaga nachukulia wewe ni ndugu yangu 😀Mchaga on duty. Usisahau kuleta fungus la 10 😅😅
Hata usijali wewe hata kama sio mchaga nachukulia wewe ni ndugu yangu 😀Mchaga on duty. Usisahau kuleta fungus la 10 😅😅
Nadhani ushapata majibu kutoka wa wadau tayari.Mm ninavyojua theluthi ni NUSU ya robo yaani ile lbda ujazo ni robo sukari
Ili upate theluthi unagawanya nusu kwa nusu
Mfan watu 200 nusu yake watu 100 robo yake watu 50 theluthi ni 25
Hvyo ndivyo ninavyoelewa kiswahiri cha theluthi
🙆🙆🙆Mm ninavyojua theluthi ni NUSU ya robo yaani ile lbda ujazo ni robo sukari
Ili upate theluthi unagawanya nusu kwa nusu
Mfan watu 200 nusu yake watu 100 robo yake watu 50 theluthi ni 25
Hvyo ndivyo ninavyoelewa kiswahiri cha theluthi
Daaaaa...... Rudi tu shule.... Kichwan unajua hesabu za kujumlisha na kutoa tuMm ninavyojua theluthi ni NUSU ya robo yaani ile lbda ujazo ni robo sukari
Ili upate theluthi unagawanya nusu kwa nusu
Mfan watu 200 nusu yake watu 100 robo yake watu 50 theluthi ni 25
Hvyo ndivyo ninavyoelewa kiswahiri cha theluthi
Asante boss,sijawahi kujua kuwa thumuni Ni niniNadhani ushapata majibu kutoka wa wadau tayari.
Kwa kuongezea tu, nusu ya robo(1/8) inaitwa thumuni.
[emoji28][emoji28]Inabidi mkaanzishe uzi wa hesabu 😀 😀 😀
Ucheke na bado hujatibiwa? 😅😅Mshua kama mshua 😂😂😂
Bi Mkubwa: "Baba nanii unaenda wapi sasa?
Mshua: "Sasa mtu haongei, nitakaa hapo siku nzima?"
Bi Mkubwa: "Unajua ili ni tatizo kubwa sana, usilifanyie mzaha"
Mshua: "Mzaha anaufanya huyo hapo, katibua watu mjini huko, karudi kutupa sisi shida"
Bi Mkubwa: "Kwahiyo tumuache afe"
Mshua: "Na akiendelea kukaa kimya, atakufa kweli"
mganga alivyodondokea kichwa ningekua ni mimi nisingeweza jizuia kucheka 😂
Yaani sijui ndio nimezeeka ebu nikumbushe basi we toto tunduUmemsahau rafiki yako? Basi kumbuka hata mwandiko [emoji28][emoji28][emoji28]
Ooh nilihisi tu ulivyoniita Boss za masiku jamaniK--@a-p@wil