Sijawahi kujutia kwenye maisha yangu, mpaka siku niliyokutana na yule Mzee

Safi sana, leo huna stress so Shani lazima afurahie mtanange![emoji16] si laki mbili ishaingia!
 
Ngoja twende nao mdogo mdogo, wataelewa tu 😅😅😅
 
Tayari mkuu
Apostle kuna muujiza huku 😅
 
Khaaa!!!!! Mbon'fupi sana? [emoji17]
 
Bro kwakweli leo umetupunja, ebu jazia jazia kidogo, nahisi Kama uliharibu[emoji16]
 
Yaani nimemwonea mstaafu huruma,jamani pata picha Ni wewe au mama yako,naomba kimoyomoyo deal lisifanikiwe
 
kisa Cha Mzee Kesho Yetu inawezekana kikanoga sana
Apostle eee zidi kufanya Mambo ili Kesho Yangu iwe poa
 
Sema we jamaa umepitia mambo mengi sana [emoji28][emoji28]
Hivi kuna ambacho hukijui kweli
 
Bora siku 3 au 4 kuna nyingine ni mwezi mpaka mwezi ujao episode moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…