Mrs Thabo Bester
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 3,145
- 7,921
πππππ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani kuna watu wengi humu hawana uvumilivu hata kidogo na hawana utulivu wa akili. Ni kama hawana kitu kingine cha kufanya zaidi ya kushinda JF. Hebu fikiria mtu analeta bure story kwa hiari yake. Baadae watu wanaanza kumforce kama vile wanamlipa,inakera. kauli yao utasikia kwa nini alikuwa analeta kama hana nafasi ya kuleta mfurulizo? Point ya kijinga sana. Hata kama mtu umeiandaa yote bado huwezi kutuma mfurulizo.daaah humu ukijitusu ulete story sasa mtunzi unakuwa kama mtumwa, huna kazi nyingine wewe ni kulete story tu.
Wapeni nafsi watunzi nao wana majukumu yao, wanhitaji kurefresh hata kuinatarct na watu wao humu.
Ukionekana online na hujapost mzigo basi unaonekana kero au unadharau wapenda hadith.
Analyse hajawahi acha hadithi njiani.
Mimi pia nimejisikia vibayaDah hatari Sana!Yaani nimemuonea huruma mstaafu Kabla hata tukio lenyewe halijapigwa!.... Aisee kijana una hatari Sanaπ
Mkuu kweli usemayo.Mzee wangu bado yupo hai.nilipomaliza kidato cha sita mzee alitaka niende polisi (nafasi ilikuwa ya wazi kwa maana rega alikuwepo na ndio aliyempa mzee mchongo)Imebidi nirudie tena kuisoma mara ya pili. Hasa sahemu ya maneno ya mzee. Hakika yamekuwa mwiba,japo ni madini ya uhakika. Yanaacha ujumbe mzito sana kwenye dunia ya vijana. Kweli utu uzima dawa. Mzee ana mawe mazito yenye madini.
Mpaka nikajisemea kumbe kuna kheri fulani kwa sisi tuliozika baba zetu hata bila kupata mapenzi yao. Yaani nikiwa mtoto wa miaka minne tu. Angalau najihisi hakuwahi kupitia maumivu yangu,ingawa sio wazazi wote wanaweza kupitia hayo. Ila angekuwa hai nina uhakika kwangu pia angepita kwenye maumivu,japo yanaweza kuwa ya tofauti,lakini Naamini maumivu ya mzazi kwa mwanae ni yale yale tu.
Kitu kimetulia mwamba. Hasa hii episode imetufunza jambo. Hasa kuhusiana na safari yetu ya maisha. Hasa kuhusiana na mapenzi. Hasa kuhusiana na wazazi wetu
Apostle unaturuhusu tuendelee kukesha tukisubiri vile Shani alivyokufelisha kwenye deal hilo au tulale hakuna mwendelezo?,Ngoja twende nao mdogo mdogo, wataelewa tu π π π
Braza kesho ni mbali ujue. Kuna saa 21 hivi zimebaki aiseeKesho after iftar mkuu π
Mstaafu mwenyewe Shaniπ€£π€£Dah hatari Sana!Yaani nimemuonea huruma mstaafu Kabla hata tukio lenyewe halijapigwa!.... Aisee kijana una hatari Sanaπ
Mambo mengi mkuu. Unajua nimejiwekea alam saa tatu hivi ndio nakuja kufungua. Ili niikute maana kusubiri ni jauMbona umechelewa kuisoma hii portion ya leo. Ulikuwa wapi mkuu? π π π
Nakazia hapo kwenye bold mkuu. Hata kwa upande wangu mambo ni mengi, sasa iweje utake Mimi niwe naandika na kupost mara nyingi, then ww alarm yako ikilia ndio uje kusoma? π π π π πMambo mengi mkuu. Unajua nimejiwekea alam saa tatu hivi ndio nakuja kufungua. Ili niikute maana kusubiri ni jau
Umeshinda mkuu. Nitasubiri nikiomba neema na kesho niwe napumua.Nakazia hapo kwenye bold mkuu. Hata kwa upande wangu mambo ni mengi, sasa iweje utake Mimi niwe naandika na kupost mara nyingi, then ww alarm yako ikilia ndio uje kusoma? π π π π π
Nadhan u got my point now π