Sijawahi kujutia kwenye maisha yangu, mpaka siku niliyokutana na yule Mzee

Siku izi nimekua mvivu mvivu wa kusoma story ndefu...

All in all story ni tamu yaan haichoshi Wala kukuboa...

Mm nimekaa pale na miwani zangu za ki Dr 🤓🤓
 
Mentor, namuelewa pia sana huyo mtu. Yuko busy kiasi siku hizi, hayupo active sana humu
Siku ya kwanza najiunga na JF way back 2013 nakutana na story yake ya verossa. Nikifikiri kweli aisee kumbe story. Ilichukua miaka kuja kujua ni story bana. Ila aiseekuna vitu wengineo hatujajaliwa. Maisha yetu yapo straight kama rula. Yani hakuna sehemu mzee atasema hapa dogo ulizingua. Kuna wakati unatamani ungezingua kidogo kukiko kunyooshakama rula. Acha nizingue kwa kusoma experience za watu aisee.
 

Baba ! naam jembe langu [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…