Sijawahi kujutia kwenye maisha yangu, mpaka siku niliyokutana na yule Mzee

1/6 inaitwa Suduthi
 
hapa unaachiwa msala bila shaka,
yani hapa utadakwa, hao wazee watakupotea hutaamini[emoji1787]
 
Khakhakhaa..mshua anampenda mkewe kwamba tangu wakuzae wewe ndio umekua kivuruge wao!?

Naendelea kusoma πŸ™‡
 
Mmekuwa kama mbwa, anayeweza kwenda umbali mrefu sana kufata jike, ila siku akija mwizi nyumbani, atamfukuza mpaka hatua chache kutoka nyumbani, kisha atamuacha. Vya maana hamvipi uzito, ila visivyo na msingi mnavifanya kwa umakini"


sio kwa punch za mzee hizi lol!!


Familia ikipata emergency unaweza toa milioni 5 za ghafla??

πŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“Œ
 
Nina imani hii paragraph imetugusa wengi wetu humu na tumelichukua kama somo kama ilivyomtokea ndugu yetu Analyse . Mzee ametugusa wengi sana kwa hekima zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…