Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Ni kichomiIla Analaisi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji24][emoji23][emoji23] Wewe jamaa akili unazo Sema basi tu
Asante aposto a .k.a mtendaji wa kijiji ndio nimeimaliza saii
Ukanitag na huko mamy,nishamaliza kifungo na nimepitwa na mengi japo sio sana maana Niko na back up sema tu hio back up ID hakuna wakunitag,ni hadi nikutane na storyWa vipaji wa vipajiiiiiii mimi sijawahi kukuita kweriii kweriii kabisa?????? Kuna nyingine ya babu kama mshkaji wangu ni nzureee piaa na ile ya Mfinland cousin ake Bantu Lady leadermoe ukitulia zipitie pia ni nzuri sana!
Pole kwa ban mkuu na karibu tena!!Ukanitag na huko mamy,nishamaliza kifungo na nimepitwa na mengi japo sio sana maana Niko na back up sema tu hio back up ID hakuna wakunitag,ni hadi nikutane na story
Senkyuu madamPole kwa ban mkuu na karibu tena!!
Haina noma ngoja nikutag zipo nyingi nyingi
Enjoy the story mkuu nimekutag na kwenye hizo nyingine kazi kwakooo! Zipo nyingi kweliSenkyuu madam
Nimeona tag zote mkuu,ngoja nimalizie kwa Apostle then nikamalizane na hizo tag zako,....Enjoy the story mkuu nimekutag na kwenye hizo nyingine kazi kwakooo! Zipo nyingi kweli
Km dingi ake apostle😂Mwanamke asili yake kudeka deka..ss anakuwaje kauzu kama mwanaume?
Usikute mwenyewe anafurah anavyoona reaction mbalimbali, reaxn ndo zinapima pia ubora wa story yako, au ni kwa namna gani watu wameipokea.Yaani kuna watu wengi humu hawana uvumilivu hata kidogo na hawana utulivu wa akili. Ni kama hawana kitu kingine cha kufanya zaidi ya kushinda JF. Hebu fikiria mtu analeta bure story kwa hiari yake. Baadae watu wanaanza kumforce kama vile wanamlipa,inakera. kauli yao utasikia kwa nini alikuwa analeta kama hana nafasi ya kuleta mfurulizo? Point ya kijinga sana. Hata kama mtu umeiandaa yote bado huwezi kutuma mfurulizo.
🤣🤣🤣 haya mambo yapo aisee kutafuta acha tuMzee Dingi yeye alitakiwa kucheza kama dalali wa eneo linalouzwa, mwanasheria feki na yule Mzee Kidevu, wao wawe majirani, Mimi nikaambiwa niwe kama afisa mtendaji au mwenyekiti wa kile Kijiji