Sijawahi kujutia kwenye maisha yangu, mpaka siku niliyokutana na yule Mzee

Sijawahi kujutia kwenye maisha yangu, mpaka siku niliyokutana na yule Mzee

Analyse: "Shikamoo Baba"
Mshua: "Marahaba"
Analyse: "Naomba nirudi nyumbani, hii hela haiwezi kunitosha kwa kipindi chote cha kusubiria, maana sina pa kulala wala kula, mahitaji ni mengi"
Mshua: "Kwani si una baba mwingine huko? Ukikwama atakusaidia, wewe ni jembe lake
 
Wa vipaji wa vipajiiiiiii mimi sijawahi kukuita kweriii kweriii kabisa?????? Kuna nyingine ya babu kama mshkaji wangu ni nzureee piaa na ile ya Mfinland cousin ake Bantu Lady leadermoe ukitulia zipitie pia ni nzuri sana!
Ukanitag na huko mamy,nishamaliza kifungo na nimepitwa na mengi japo sio sana maana Niko na back up sema tu hio back up ID hakuna wakunitag,ni hadi nikutane na story
 
Ukanitag na huko mamy,nishamaliza kifungo na nimepitwa na mengi japo sio sana maana Niko na back up sema tu hio back up ID hakuna wakunitag,ni hadi nikutane na story
Pole kwa ban mkuu na karibu tena!!
Haina noma ngoja nikutag zipo nyingi nyingi
 
Enjoy the story mkuu nimekutag na kwenye hizo nyingine kazi kwakooo! Zipo nyingi kweli
Nimeona tag zote mkuu,ngoja nimalizie kwa Apostle then nikamalizane na hizo tag zako,....
Thank u in advance mkuu
 
Aposto tunasubiri mzigo kwa kiu Kali Sana. Nipo kiti Cha mbele kabisa mkuu
 
Ngoja nicomment kwanza afu nishuke nayo mdogo mdogo,usisahau tag mkuu
 
Nilikuwa najiuliza mzee wako kwa nini anakaza namna hii. Kumbe alikuwa mwanajeshi. Wala hata sio kosa lake kumbe, ukichukulia wazazi wengi tunawakazia sana watoto wa kiume huku kwa watoto wa kike hatuna usemi, ni ndio mda wote,
 
Yaani kuna watu wengi humu hawana uvumilivu hata kidogo na hawana utulivu wa akili. Ni kama hawana kitu kingine cha kufanya zaidi ya kushinda JF. Hebu fikiria mtu analeta bure story kwa hiari yake. Baadae watu wanaanza kumforce kama vile wanamlipa,inakera. kauli yao utasikia kwa nini alikuwa analeta kama hana nafasi ya kuleta mfurulizo? Point ya kijinga sana. Hata kama mtu umeiandaa yote bado huwezi kutuma mfurulizo.
Usikute mwenyewe anafurah anavyoona reaction mbalimbali, reaxn ndo zinapima pia ubora wa story yako, au ni kwa namna gani watu wameipokea.
 
Mzee Dingi yeye alitakiwa kucheza kama dalali wa eneo linalouzwa, mwanasheria feki na yule Mzee Kidevu, wao wawe majirani, Mimi nikaambiwa niwe kama afisa mtendaji au mwenyekiti wa kile Kijiji
🤣🤣🤣 haya mambo yapo aisee kutafuta acha tu
 
Back
Top Bottom