Sijawahi kujutia kwenye maisha yangu, mpaka siku niliyokutana na yule Mzee

Daah 😁
 
Hiki kipande nimekisoma nipo kwny daladala foleni ya buguruni! Najuta[emoji23][emoji1787][emoji1787] chuma ilivyo banana watu wamesimama hawaelewi hili wala lile mimi nimekaa ni kucheka tu dah! Mchaga kapatikana sana!
 

Hahahaaa..nimecheka hapo Ochu alivyoumbuka!!
Hio wanafunzi wanaifanya sana huku mashuleni...kuna siku mwanafunzi mmoja alimleta mzazi wa mchongo ivoivo mtoto anatokea Arusha kazoa kijana Nyakibimbirii hukuuu πŸ˜‚πŸ˜‚ kumbe yule kijana wanajuana vizuri na mwalimu fulani!
Sasa watoto wengine hawawapangi na kuwamezesha vizuri wakifika shule Maelezo wanajichanyanya!
 
Duu nyakibimbirii πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…