Fene
JF-Expert Member
- May 4, 2021
- 2,824
- 4,447
[emoji23]Aise nimecheka kinoma story nzuri
ila na mimi nikikumbuka nilimpeleka mzazi feki kutoka kwenye bar ya mbege duh jamaa alikuwa ananukia pombe hatari, ofisini naulizwa ndio baba yako nikasema ndio mwalimu alisizi kama 5 min hivi akituangalia tu ndio maongezi yakaendelea tukamaliza nikampa 10k yake moto.
Ila ujana bn tena wa shule, nimemiss zile hustle sana
Duh! mixer pombe, vp huyo hakuzingua kama yule wa Ochu?