Sijawahi kujutia kwenye maisha yangu, mpaka siku niliyokutana na yule Mzee

Analyse uje utupunguzie machungu ya kuachwa[emoji20][emoji20] wasimuliaji wote naona mmegoma kuendelea ntaponea wapi[emoji20][emoji20]

Njoo upunguze arosto huku
 
Asante dear😘
 
Ni ngumu uchangiwe na watu wanne watu halafu watu waangalie tu halafu ubebwe uwekwe kwenye gari wanakuangalia tu unaondoka tena na hayo maeneo nimeambiwa na mwananchi mmoja kuna polisi na walinzi karibu. Uwe makini dogo usipoteze umakini please. Utanikwaza
 
Ubinadamu kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…